Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums


Jf Staff: "Afisa hata ukichukua kompyuta zetu hamna kitu utakuta humo kila kitu kinakwenda moja kwa moja kwa cloud."
Afisa: "Na huyo Kraudi pia tunakwenda kumfuata kwake atupatie raptopu zake
 
JF imesaidia sasa tena sana.....wewe badala ya kufocus kwenye mambo ya maana unafukuzana na Mkubwa Melo...
Kama huvutii huvutii tu....
 
Mbona bado tupo hewani!!!!
 
NITOE RAI KWENU JamiiForums ... Taarifa yoyote za wakina Lucy's MWASHAMBWA zipigwe pin humu, zisionekane!

Wakatafute Jf yao na VPN zao kusambaza taarifa zao!.. Habari zozote za kampeni za CCM ZIWE FILTERD ZISIONEKANE!

UNYAMA UNYAMA TU! HAkuna kuoneana haya!
 
Poleni sana Jamii Forum uongozi, tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…