Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 5,082
- 8,368
Ila kiukweli mimi binafsi bila kumshirikisha mtu yoyote hayo matakwa ya hio barua waliyotoa Bwana Jabir na TCRA mimi sijayaelewa kabisa kwa hio kuchapisha maelezo ya Polepole kwenye page ya JF Insta na X ni kosa km ni kosa kwanini hawakusema mapema au ndio visa tu sababu mtu fulani anachekwa na kupigwa sana spana humu Jf kulani inadi kabisa hukuMm sio mende mkuu naona una washwa washwa perianal sphincter.