Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Jamaa watakuwa na hali mbaya sana ya kisiasa.

Hii haijawahi tokea toka dunia iumbwe.

Huku sasa ndio kuchanganyikiwa kwenyewe kila mtu kwao ni tatizo.

In Magufuli’s voice mtani kumbuka, uwa napata shida sana kwa watu wasio mafisadi ambao hawakumuelewa yule mwamba.
Daaah acha kabisa unaweza fikiria usipate jibu
Hii ni zaidi ya kufosi king kwa maneno ya mtaani.
Ni zaid ya hatari
 
Ni hilo tu kwa leo.
Screenshot_20251120-220343~2.png
 
Au tangu siku kadhaa nyuma ilikuwa huru sema ni Mimi tu nilikuwa sijabaini?

Hapa natiririka tu nikiwa zangu huku mbozi bila kizuizi Wala kivushaji chochote.
 
Back
Top Bottom