Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Kumbe kwa vpn tunaipata...😄
Utakuwa umeunganishwa kwenye server za INEC, NIDA NA CC ndio maana unapetaa tuMbona mie situmii VPN lakini naipata kama kawaida..🤔
Leo natumia VPNKweli? 🤣🤣 Au uko Cuba mkuu
KabsaWasituzungushe sana tupewe ratiba wajichague wachache tukatane site tuzichape ili heshima iwepo
Ask deal of million dollars, kwishaaaa
😂😂😂😂😂😂Utakuwa umeunganishwa kwenye server za INEC, NIDA NA CC ndio maana unapetaa tu
Nope. Naonyesha nguvu ya tech na uzwazwa wa mamlaka zetuunataka isipatikane ?
Sio uzwazwa na nguvu ya tech, n ww kutokuelewa mambo yanavyokwendaNope. Naonyesha nguvu ya tech na uzwazwa wa mamlaka zetu
Ushindwe na uregeeSio uzwazwa na nguvu ya tech, n ww kutokuelewa mambo yanavyokwenda
PoaUshindwe na uregee
😅😅 kwani akishindwa tu bila kulegea kuna tatizo gani bwashee?Ushindwe na uregee
Wajinga kama nyie mkiendelea kukaa nje ya jukwaa ni sawa kabisa maana limefungiwa na mama yenu mnayesifia kila siku halafu mnajitetea kumtoa kuwa hana uhusiano na zuio hili.Lawamq zote kwa britanicca