AH forever
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 139
- 189
Aiseeee
Wasituzungushe sana tupewe ratiba wajichague wachache tukatane site tuzichape ili heshima iwepoDaah kifua kimejaa hasira na matusi, ngoja niende mlimani huko nikatukane weee hasira ziishe
Post ziongezeke sasa, ns Moods hakuna kufuta Uzi wowote ule, mkifuta mtaiambia serikali mliwezaje kufuta post ilihal imewafungjaNi kama ambavyo X au Twitter imefungiwa Tanzania, ila duniani kote iko "Live". Lakini hapo hapo pages zote za serikali na vyombo vya habari vimeendelea kutumia X kama kawaida, na sisi raia wa kawaida pia tuko live huko X.
Hivyo kwa kusema hivyo, tuendelee kuenjoy platform yetu. Watakachokosa Jf Media ni kupost chochote kwenye social medias zingine tu, hawaruhusiwi kuendelea na uhabarishaji.
View attachment 3466932
Naishi na hii....Kama huvutii huvutii tu....
Kaone miwani sijui ka nini tu
Mkuu maandamano ramani Iko hivi yafanyike usiku saa mbili mpaka saa tatu usiku kwenye Giza hiyo vagalanti hawato kuja sahaubonho tuna fail sana kwenye ku-organize maandamano sijui kwanini
au tuseme ma askari wa bongo wana uwezo sana sijui tunakwama wapi
Ni faiba ndugu yangu unlimited data ipo kama TTCL faibaNdo nini hyoo?
Wasio julikana wapo kazini.