Ndo maana Millard Ayo kaacha kupost habari za kukosoa maana anawajua wa Tz walivyo wanafki , Jf ilipokua inatoa taarifa za kukosoa serekali kila mtu anashangilia ila imefungiwa hakuna mwananchi anaejitokeza kuandamana kwaajili ya kupigania uhuru wa habari, ajira za watu zinaharibika bila kuwa na utetezi wowote kutoka kwa raia hivi kwa staili hii watandeleaje kutoa taarifa za kukosoa?
Huu unafiki ndo huohuo uliotokea kipindi cha Ben Sanane, leo kila mtu yuko kimya na familia ndo imebaki na uchungu, hivyo hivyo kwa kina Mdude, Soka na wenzake hakuna mtu alieweza kuandamana hata kwa mita 100 kwaajili yao ila ukiingia mtandaoni utakutana na wanaharakati uchwara mikwara kibao.
Pumbav