Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Hahahaha basi tumekwishaKutumia gari iliokuwa imefutiwa usajili
Hahahaha basi tumekwishaKutumia gari iliokuwa imefutiwa usajili
Kama Lissu tu baada ya uchaguzi mtavinjari tenaWanasubiri uchaguzi upite kwanza
KabisaMsalimie donadi trump
Mbona jana alikuwa anauliza VPN ni kidude gani 😄😄Lucas anatumia vpn kitambo mbona
aisee, niliona call kutoka Amsterdam, ni yako mzee ? Nilikuwa mbali na simuWanataka watanzania mfatilie zile page za udaku ngono umbea wanawake wKicheza singeli
Ova
Ukitumia Savana faiba naona unazama bila VPNAu huku makao makuu tumeachiwa huru?? Mbona ipo hewani tunayeya..
Lakini vile vile unahoji na hasa nidhamu ya huu mama kukumbatiana kivile na lile jamaa! Hata kiafrika tu hayo ni mambo ya Generation ZPicha zipigwe na wasaidizi wa raisi, lawama ziende JF.
Sasa hapo wakulaumiwa JF au kitengo cha mawasiliano Ikulu. Kilichopiga hizo picha na kuziachia.
Polepole sio mtu wa kwanza kustaajabu yule bonge kujiachia vile Ikulu, humu JF kulikuwa na mjadala mkali mara tu picha zilivyoweka public na wasaidizi wake mwenyewe raisi (wakati Polepole bado balozi Cuba).
Mambo ya msingi kama ya huyo Angela yanayowakera watanzania ndio kwanza anadunda nae kwenye kadamnasi.
Mambo yasiyo na tija ndio utake kuonea watu; hawa majamaa wameishiwa kweli mawazo.
Ndio shida ya kupeana nafasi sensitive kama za Ikulu. Wakulaumu kwa hizo picha ni statehouse media sio mtu mwingine.
Useless TCRA, useless CCM na useless statehouse media. Wanatafuta mchawi kwa ujinga wao wenyewe.
Pathetic