Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Ni wakati sasa na nyinyi Muanze kutumia (Tor Browser), iko play store, iko built-in na VPN ndani yake, ukiwa na hii browser ni zaidi ya chrome huhitaji kudownload VPN YOYOTE!
 
Kwani yeye mpigwa picha hakuona kuwa zinataacha sintofahamu kwa jamii?
Inakuwaje Rais wa Nchi anapiga picha za kubambiwa na jitu tu from no where tena under age na linakaa kwa kujiachia ndani ya Ikulu yetu takatifu tena mbele ya Rais utadhani lipo sebuleni kwake!!

Samia aliinajisi ikulu yetu. Na huo ndo ukweli atuache tuongee.
 
fc7b6ce0-8e08-4cf8-8fe1-f754040411f5.jpeg
 
Sasa Yan. Tuambieni tutaishije bila jf ???
Yan hata VPN hazitafanya kazi ?
 
Hakika nyakati zile ulikuwa udikteta uchwara, sasa ndiyo tupo kwenye udikteta halisia. Huu udikteta wa sasa, haujawahi kushuhudiwa.
 
Back
Top Bottom