Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Karibu muda huu bila VPN ukiwa Tanzania utupe mrejesho.Mbona mimi sina VPN lakini ninaipata?
Unaweza kuwa unaperuzi ukiwa nje ya mipaka ya TCRA.
Karibu muda huu bila VPN ukiwa Tanzania utupe mrejesho.Mbona mimi sina VPN lakini ninaipata?
Mjomba nitumie na mimi hela ya Maulidi.Basi natuma uzuri najua huna tabia ya kula nauli kwa umpendaye 😅
We mpuuzi unatumia VPN gani?Kwani jf inakulisha wewe ?
SayngayNaunga mkono hoja, haiwezekani jukwaa litumike Kwa maslahi ya vikundi au watu badala ya Umma.
Pole sana ila sheria zifuatwe.
Nawashauri TCRA wangefungia jukwaa la siasa na mengine ambayo yanaandika siasa ,then Yale mengine yasalie na wamiliki wadhibiti maudhui y Kisiasa kwenye majukwaa yasiyo ya siasa.
Safii, kumbe yuko mbele ya muda💪Mkuu Mello sio mjinga kilivyo. Server na domain ya JF ipo London mkuu. Hii ilitokea hata wakati wa Mtakatifu meko na tuliendelea kudunda na JF yetu.
Hili nalo litapita.
Tofauti ya ubongo wako na kinyesi n jotoNaunga mkono hoja, haiwezekani jukwaa litumike Kwa maslahi ya vikundi au watu badala ya Umma.
Pole sana ila sheria zifuatwe.
Nawashauri TCRA wangefungia jukwaa la siasa na mengine ambayo yanaandika siasa ,then Yale mengine yasalie na wamiliki wadhibiti maudhui y Kisiasa kwenye majukwaa yasiyo ya siasa.
Mbona hao madem wote ni wabaya?View attachment 3466733kenya talk hii hapa
Mjomba kwani Ile hela niliyokutumia juzi imeisha ishaje 🥹😂Mjomba nitumie na mimi hela ya Maulidi.
Jamaa wenzako kichwani wana akili wewe una mavi.Naunga mkono hoja, haiwezekani jukwaa litumike Kwa maslahi ya vikundi au watu badala ya Umma.
Pole sana ila sheria zifuatwe.
Nawashauri TCRA wangefungia jukwaa la siasa na mengine ambayo yanaandika siasa ,then Yale mengine yasalie na wamiliki wadhibiti maudhui y Kisiasa kwenye majukwaa yasiyo ya siasa.
sijuiWhaaat??!!
utaelewa just a matter of timeSijaelewa
Nafikiri hujui kusoma kwa ufahamu.We ni muoga unaogopa uongozi husika uliopo unakalia kuisema maiti mitanzania mioga sana aisee🤣🤣🤣🤣
Nadhani inahitajika wananchi tufanye maamuzi magumu.Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums kuchapisha taarifa ya Mwanasiasa Humphrey Polepole kuhusu Rostam kumiliki mgodi wa makaa ya mawe kwa asilimia 70 na taarifa za uhusiano kati ya Rais wa Tanzania na "Mfanyabiashara" Wicknell Chivayo bila kuzingatia mizania.
Kwa mujibu wa TCRA, JamiiForums ilishindwa kutafuta maoni ya Mamlaka husika/Msemaji wa Rais/Serikali, kuthibitisha uhalisia wa picha (za Rais na Chivayo) zilizotumika, na hivyo kuuaminisha Umma taarifa za upande mmoja.
Aidha, TCRA imeeleza kuwa jukwaa la JamiiForums halikudhibiti maudhui yenye lugha ya matusi, kashfa na kejeli dhidi ya Rais wa Tanzania, na kuendelea kuhifadhi maudhui hayo ambayo bado yanapatikana kwa umma.
TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3466708
View attachment 3466706
View attachment 3466707