Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Hivi inawezekanaje mamlaka ya mawasiliano iwe na watu wasiojua tofauti ya website ambazo maudhui yake huzalishwa na watumiaji na zile ambazo maudhui huzalishwa na wamiliki?
JamiiForums ni kama vile Reddit au Quora ambapo wanachama ndiyo chanzo cha taarifa na si vinginevyo.
Nachelea kusema kuwa aliyeandika barua ile ni mtu ASIYE NA WELEDI NA HASTAHILI KUWEPO TCRA.