Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Sheria za nchi lazima zifatwe.

Uhuru wa kujieleza na maoni kupitia mvyombo vya habari vina mipaka yake, tuiheshimu.
Ma picha apige mwenyewe huyo mama; wayaweke wenyewe mtandaoni; uifungie jf eti maadili.
 
Nilikuwa natafuta comment kama hii maana hata mie sina VPN (nikasema kulikoni au simu yangu ina VPN bila kujua)

Actually niliona post kwenye page yao ya Facebook nikasema niingie kujaribu na nikafanikiwa)
Naona tayari kimeumana mkuu 🤣 🤣 kwako bado Iko poa?
 
Simu moja tu ya Rostam Aziz ndiyo imezua balaa lote hili. Hivi Watanganyika nani ameturoga hadi leo hii tunatawaliwa na waarabu na waajemi?
 
Kwani huyu Samia ni zao la uongozi wa nani?

Uongozi wa nani sheria za kipuuzi za mtandao zilitungwa?

Hatuwezi kutafuta suluhisho bila kujua chanzo .
We ni muoga unaogopa uongozi husika uliopo unakalia kuisema maiti mitanzania mioga sana aisee🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom