Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Tuambizabe uelekeo ni wapi wakati tunasubiri suluhu la hili, si tutawehuka tukikosa pa kusema jamani 😭😭😭
 
Umesahau tulihamia JamiiTalk kwa muda mfupi?
Ila haikuwahi kufungiwa rasmi tena kwa muda mrefu wa miezi mitatu.
Ilisumbua tu kwa siku chache Sana.
Nilimaanisha hatua ya kufungiwa kama ilivyotokea sasa

Huu utawala hautaki kusikia maoni mbadala kabisa
 
Back
Top Bottom