Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Hali ya hatari
Jpm hakuwa mtu mbaya mtaelewa taratiiibuHata JPM hakufika huku. Inasikitisha sana!!
Kwahiyo Dada yangu? 🤣🤣🤣
Samia nae ataondoka kama alivoondoka filauniSheria za nchi lazima zifatwe.
Uhuru wa kujieleza na maoni kupitia mvyombo vya habari vina mipaka yake, tuiheshimu.
AlifikaAiseeeeeee hadi hata Magu hakufika huku daah
Mbona huko fb watu wanakula spana vile vileNdio faida ya JF ile kuwa anonymous ndio kitu kinawapa ugumu. Mtu anakula spana mwanzo mwisho na hakuna kitu atafanya😁
nenda, sisis tuko hapa hapaHapa ni familia kubwa wanaJF ila kuna forum nyingi ambazo tunaweza kutumia.
Tushirikiane mda huu
Nadhani waliokuwa against nae wameshapata somo.Jpm hakuwa mtu mbaya mtaelewa taratiiibu
Samia aweza kuwa jini si mtu.Tuna Rahisi wa kimaku haijawahi tokea manina zake
Ofcoz, haswa zikiwa zinaihusu serikali na chama tawala... ila hao wengine mnaruhusiwa kuwaongelea mtakavyo.Sheria za nchi lazima zifatwe.
Uhuru wa kujieleza na maoni kupitia vyombo vya habari vina mipaka yake, tuiheshimu.