Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Wacha watuue tu ilumbu wane 🤣Tunahamia wapi kaka wane?
Wacha watuue tu ilumbu wane 🤣Tunahamia wapi kaka wane?
😅😅 hizi ni fitina na baby hanitumii nambaa , wakiza Jf ndio imeisha hivyooo hadi siku 90Lile tumaini la bikra yako kutoka ndo hivyo tena 😂 😂
Aiseee inaumiza mno kama mtanzania yaani basi tu ngoja tunyamaze ila hii itakuwa njia ya kuwakaribisha maadui kabisaa maana maumivu ni makaliTupo Kenya Unakumbuka Wakati Ule
Onyesha wapi TCRA waliandika barua ya kuifungia jf kwa siku tisini kipindi cha MwendazakeLilifungiwa 2018 wiki 3 hana usafi wowote huyo mtu.
He was the hallmark of all these gimmicks.