Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

1757159119047.png
 
Hawa kunguru wa Zanzibar ni wajinga wa mwisho kabisa kuwahi kuwashuhudia katika maisha yangu.
 
Si wangeingia kwenye ile Thread na kuweka hiyo mizanai ya sawa? Mtu kakumbatiwa live na Chiveyo, akakenua meno na akakubali kupigwa picha. Sasa Inakuwaje wanang'aka baada ya picha kuchapishwa?
😂😁😂😁♻️♻️♻️😁😁♻️♻️♻️
 
Duh, ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya kwanza ...... siku ya pili .... siku ya 90
 
Back
Top Bottom