Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

The main opposition party leader is behind bars, chama chake hakishiriki uchaguzi wala watu wake.

Vimebaki vyama B vya chama tawala lakini bado hawataki watu waongee, basi hata kuongea? Watu wamefungwa mikono na miguu asee!!
 
Onyesha wapi TCRA waliandika barua ya kuifungia jf kwa siku tisini kipindi cha Mwendazake
Mkuu wewe ni mkongwe mwenzangu humu umesahau migration ya watu kwenda Kenya Talk kwa waliokuwa Tanzania au hicho kipindi ulipumzika kuingia humu?

Issue sio barua , Melo alikuwa treated vibaya utawala ule vingapi vilifanyika bila barua??

Ukiniuliza barua nami nitakuuliza 2020 wakati mitandao kama Twitter[X] , WhatsApp , Facebook, YouTube zimefungiwa kuanzia tarehe 28 October hadi November 3 ,2020 kuna barua mlipewa?

Hivi mtu si alivamia Clouds TV na footage zikatoka picha zake ni yeye je tulikuja kuambiwa vipi zaidi ya kusema alikuwa matembezi .

Tusiwe wasahaulifu mapema.
 
Back
Top Bottom