Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Nimeweza acces bila VPN au bado IT wao anaejua kazi yupo OFF
Sababu wamesema tu kuanzia tarehe 6/09 na hawajataja muda basi tutafunga hata kwenye saa tano usiku wa leo, still itakua ni tarehe 06/09
 
Nikaona mbona inatumia mda mrefu kuload na haifunguki, nipo nikaingia FB na x na kukutana na habari ya kufungiwa ,
 
Picha zipigwe na wasaidizi wa raisi, lawama ziende JF.

Sasa hapo wakulaumiwa JF au kitengo cha mawasiliano Ikulu. Kilichopiga hizo picha na kuziachia.

Polepole sio mtu wa kwanza kustaajabu yule bonge kujiachia vile Ikulu, humu JF kulikuwa na mjadala mkali mara tu picha zilivyoweka public na wasaidizi wake mwenyewe raisi (wakati Polepole bado balozi Cuba).

Mambo ya msingi kama ya huyo Angela yanayowakera watanzania ndio kwanza anadunda nae kwenye kadamnasi.

Mambo yasiyo na tija ndio utake kuonea watu; hawa majamaa wameishiwa kweli mawazo.

Ndio shida ya kupeana nafasi sensitive kama za Ikulu. Wakulaumu kwa hizo picha ni statehouse media sio mtu mwingine.

Useless TCRA, useless CCM na useless statehouse media. Wanatafuta mchawi kwa ujinga wao wenyewe.

Pathetic
 
Ndo wanazidi kuipaisha jf, watu wengi watajiunga
 
Kiukweli hii inajiita serikali tukiendelea ichekea chekea itatupanda kichwani this is too much tuhuma zinatoka jibuni sasa si mjini yani mnataka watu wafunga midomo siyo
 
Back
Top Bottom