Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Hebu ngoja tuoneWamefungia jamiiforuma kwenyemitandao ya kijamaa kama faceboom au insta au kule x ila sio humu, nazani mimi nimeelewa hivyo
Hebu ngoja tuoneWamefungia jamiiforuma kwenyemitandao ya kijamaa kama faceboom au insta au kule x ila sio humu, nazani mimi nimeelewa hivyo
Wanataka kumonopolize ukweli. Wanachosema wao ndio uhalisia wakati hawana credibility hio. So sad, huu ndo uhuru wa vyombo vya habari wanaoutaka (kundika walaotaka liwe kweli)
So sad !2020 hiyo
Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.Whaaat??!!
Yana habari za mtu mmoja zinausianaje na shirika la umma kuingilia mtandao wa kijamii, kama uyo mtajwa anafikili amedhalilishwa ,kwa nini asiende mwenyewe mahakamani
😂😂😂Vpn yako inasoma huko kasulu ila upo mbopoHuo ni utapeli sasa au kwasababu nimepataja mbopo mda si mrefu haya kwa taarifa yako nipo Kasulu, Geita😅😅
MUDA WA KUFUNGA NI MPAKA MASAA 24 YAPITEMbona mimi situmii VPN na hapa naipata?muda
Mi nilidhani jf mnamiliki sever zenu wenyew kumbe bado mnatumia za serikaliMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums kuchapisha taarifa ya Mwanasiasa Humphrey Polepole kuhusu Rostam kumiliki mgodi wa makaa ya mawe kwa asilimia 70 na taarifa za uhusiano kati ya Rais wa Tanzania na "Mfanyabiashara" Wicknell Chivayo bila kuzingatia mizania.
Kwa mujibu wa TCRA, JamiiForums ilishindwa kutafuta maoni ya Mamlaka husika/Msemaji wa Rais/Serikali, kuthibitisha uhalisia wa picha (za Rais na Chivayo) zilizotumika, na hivyo kuuaminisha Umma taarifa za upande mmoja.
Aidha, TCRA imeeleza kuwa jukwaa la JamiiForums halikudhibiti maudhui yenye lugha ya matusi, kashfa na kejeli dhidi ya Rais wa Tanzania, na kuendelea kuhifadhi maudhui hayo ambayo bado yanapatikana kwa umma.
TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3466708
View attachment 3466706
View attachment 3466707
Ilikuwa ni quote ya Amin DadaMseveni anasema uganda kuna uhuru wa kuongea ila baada ya kuongea atashindwa kukuthibitishia uhuru wako
Nauli ya kasulu to mbopo right😅😅😂😂😂Vpn yako inasoma huko kasulu ila upo mbopo
Nakutumia nauli hapo acha ubishi waifu usilie peke ako 😂
Kwani huyu Samia ni zao la uongozi wa nani?Nini kinawazuia kuyasahihisha ikiwa sasa hayupo na ndio yamezidi mara dufu? usafi anao, angalau alitetea rasilimali zisichukuliwe kijinga na kizembe!
Whaaat??!!
Fijo kikoloImbombo ngafu..!!!