Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni

TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums kuchapisha taarifa ya Mwanasiasa Humphrey Polepole kuhusu Rostam kumiliki mgodi wa makaa ya mawe kwa asilimia 70 na taarifa za uhusiano kati ya Rais wa Tanzania na "Mfanyabiashara" Wicknell Chivayo bila kuzingatia mizania.

Kwa mujibu wa TCRA, JamiiForums ilishindwa kutafuta maoni ya Mamlaka husika/Msemaji wa Rais/Serikali, kuthibitisha uhalisia wa picha (za Rais na Chivayo) zilizotumika, na hivyo kuuaminisha Umma taarifa za upande mmoja.

Aidha, TCRA imeeleza kuwa jukwaa la JamiiForums halikudhibiti maudhui yenye lugha ya matusi, kashfa na kejeli dhidi ya Rais wa Tanzania, na kuendelea kuhifadhi maudhui hayo ambayo bado yanapatikana kwa umma.

TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

View attachment 3466708
View attachment 3466706
View attachment 3466707
Kwaiyo ni rais wakati huo huo anagombea urais. Katiba inatakiwa ibadilishwe, kwenye transition period ofisi ishikiliwe na jurge mkuu
 
Walioko Tanzania wajiandae kuingia JF kwa VPN.
Serikali ya Tanzania ina viongozi wajinga na wasio na maarifa

Hawana uelewa na kitu kinaitwa "Open sources Intelligence" hutakiwi kufungia JamiiForum unatakiwa kufanya extensive scraping ya data na kufanya monitoring ya maoni ya watu kwa ajili ya Usalama wa nchi na masuala mengine ya uchumi.

Kwa sasa ni faida kubwa ya JamiiForum Kuwa huru na watumiaji Kuwa huru hata ile mipango yetu mizito tunawza kuipanga huku kama Twitter, na mitandao mingine ya Magharibi.
 
Sasa ni rasmi tunaongozwa na kikundi cha wanamtandao hatari. Sijui tutatokaje
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni

TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums kuchapisha taarifa ya Mwanasiasa Humphrey Polepole kuhusu Rostam kumiliki mgodi wa makaa ya mawe kwa asilimia 70 na taarifa za uhusiano kati ya Rais wa Tanzania na "Mfanyabiashara" Wicknell Chivayo bila kuzingatia mizania.

Kwa mujibu wa TCRA, JamiiForums ilishindwa kutafuta maoni ya Mamlaka husika/Msemaji wa Rais/Serikali, kuthibitisha uhalisia wa picha (za Rais na Chivayo) zilizotumika, na hivyo kuuaminisha Umma taarifa za upande mmoja.

Aidha, TCRA imeeleza kuwa jukwaa la JamiiForums halikudhibiti maudhui yenye lugha ya matusi, kashfa na kejeli dhidi ya Rais wa Tanzania, na kuendelea kuhifadhi maudhui hayo ambayo bado yanapatikana kwa umma.

TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

View attachment 3466708
View attachment 3466706
View attachment 3466707
Hakika hii ni habari mbaya kabisa, JamiiForums ni chombo pekee kilichokuwa kimebakia kikitoa habari zake pasipo kuegemea upande flani...

Kwa maelezo hayo hapo juu sioni kifungu cha sheria ambacho kimekiukwa zaidi ya maneno tu ... tumefika pabaya...
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni

TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums kuchapisha taarifa ya Mwanasiasa Humphrey Polepole kuhusu Rostam kumiliki mgodi wa makaa ya mawe kwa asilimia 70 na taarifa za uhusiano kati ya Rais wa Tanzania na "Mfanyabiashara" Wicknell Chivayo bila kuzingatia mizania.

Kwa mujibu wa TCRA, JamiiForums ilishindwa kutafuta maoni ya Mamlaka husika/Msemaji wa Rais/Serikali, kuthibitisha uhalisia wa picha (za Rais na Chivayo) zilizotumika, na hivyo kuuaminisha Umma taarifa za upande mmoja.

Aidha, TCRA imeeleza kuwa jukwaa la JamiiForums halikudhibiti maudhui yenye lugha ya matusi, kashfa na kejeli dhidi ya Rais wa Tanzania, na kuendelea kuhifadhi maudhui hayo ambayo bado yanapatikana kwa umma.

TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

View attachment 3466708
View attachment 3466706
View attachment 3466707
habari mbaya sana hii
 
Serikali ya Tanzania ina viongozi wajinga na wasio na maarifa

Hawana uelewa na kitu kinaitwa "Open sources Intelligence" hutakiwi kufungia JamiiForum unatakiwa kufanya extensive scraping ya data na kufanya monitoring ya maoni ya watu kwa ajili ya Usalama wa nchi na masuala mengine ya uchumi.

Kwa sasa ni faida kubwa ya JamiiForum Kuwa huru na watumiaji Kuwa huru hata ile mipango yetu mizito tunawza kuipanga huku kama Twitter, na mitandao mingine ya Magharibi.
Viongozi wa Tanzania hawajui safety valve theory.

If you muffle transparent free speech you are inviting an underground movement for a violent revolution.
 
wanacho fanya kukutrack hata jf wanaweza ila nakupa hii mbinu.
1.Usikubari mtu kaingia DM katuma link ukafua ,ukifungua wamenasa IP yako ya kifaa na hata unapokwenda wanajua.
2.hakikisha unatumia kifaa ambacho mfano simu au laptop ina generate MAC address fake kuepuka kugunduliwa.
MAC address fake inakuaje
 
Back
Top Bottom