Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Si ndiyo uje huku tujue tunaishi vipi hizi siku 90 za upweke 😅Nauli ya kasulu to mbopo right😅😅
Fanya chap uje kutumia vpn yangu huku
Si ndiyo uje huku tujue tunaishi vipi hizi siku 90 za upweke 😅Nauli ya kasulu to mbopo right😅😅
Kule Instagram?Nadhani ni zile picha za mama Abdul akikumbatiana na yule raia fisadi wa Zimbabwe,nilijua hapa lazima kiumane,
Hatuna amani tena
Haya nasubiri muhamala nianze safari 😅😅Si ndiyo uje huku tujue tunaishi vipi hizi siku 90 za upweke 😅
Fanya chap uje kutumia vpn yangu huku
Walioko Tanzania wajiandae kuingia JF kwa VPN.
Haudaiwi songesha nikutumie kwenye voda 😁Haya nasubiri muhamala nianze safari 😅😅
Unalipata kwa VPN tu?Jukwaa mbona tunalipata jamani.Mwendo wa VPN tu.
Yes,pia Humu humu jf,kwenye Whatsapp channel yaoNi
Kule Instagram?
Sina deni kabisa 😅Haudaiwi songesha nikutumie kwenye voda 😁
K.umanina zako.Sheria za nchi lazima zifatwe.
Uhuru wa kujieleza na maoni kupitia vyombo vya habari vina mipaka yake, tuiheshimu.
Basi natuma uzuri najua huna tabia ya kula nauli kwa umpendaye 😅Sina deni kabisa 😅
Fala ninyi TCRA, hamjui mnachofanya. Tuwaulize msemaji wa serikali? Tangu lini mnasemaga ukweli fisi nyie. Mmefungia magazeti na sasa tutaendelea kuwasema kila mahali wajinga ninyi. Mmeumizwa na tabia za huyo mama kufanya mambo ya aibu paka nyie. Kama ana tabia nzuri angeacha huo upumbavu.Eti Chidwell nani sijui, mtasema hizo picha za kutengeneza msivyo na akili ninyi TCRA na Greyson Msigwa.
90 days ni baada ya uchaguzi!Yes,pia Humu humu jf,kwenye Whatsapp channel yao
Sina fanya haraka kabla magari hayajaondoka 🫠🤣Basi natuma uzuri najua huna tabia ya kula nauli kwa umpendaye 😅
Vpn ipoMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums kuchapisha taarifa ya Mwanasiasa Humphrey Polepole kuhusu Rostam kumiliki mgodi wa makaa ya mawe kwa asilimia 70 na taarifa za uhusiano kati ya Rais wa Tanzania na "Mfanyabiashara" Wicknell Chivayo bila kuzingatia mizania.
Kwa mujibu wa TCRA, JamiiForums ilishindwa kutafuta maoni ya Mamlaka husika/Msemaji wa Rais/Serikali, kuthibitisha uhalisia wa picha (za Rais na Chivayo) zilizotumika, na hivyo kuuaminisha Umma taarifa za upande mmoja.
Aidha, TCRA imeeleza kuwa jukwaa la JamiiForums halikudhibiti maudhui yenye lugha ya matusi, kashfa na kejeli dhidi ya Rais wa Tanzania, na kuendelea kuhifadhi maudhui hayo ambayo bado yanapatikana kwa umma.
TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3466708
View attachment 3466706
View attachment 3466707