Lamborgini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 954
- 1,617
Haisaidii video za slowslow tunazo zitasambazwa ata kwenye flash.
Kwa kifupi ni kwamba maamuzi ya TCRA kwa JF yalikuwa ‘damned if I do, damned if I don’t.Lakini vile vile unahoji na hasa nidhamu ya huu mama kukumbatiana kivile na lile jamaa! Hata kiafrika tu hayo ni mambo ya Generation Z
Link haraka kabla sijwapiteza wapendwa wangu wa nguvu wa humu jfTupo Kenya Unakumbuka Wakati Ule
Hakuna mwenye uwezo wa kuizima JF main site, watazima huko Facebook na Jamii media.🤣🤣🤣🤣🤣kabla JF haijazimwa
Duh,Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90..
Exactly 💯 mkuu naunga mkono hojaHakuna mwenye uwezo wa kuizima JF main site, watazima huko Facebook na Jamii media.
NdioKwahiyo ndio mpaka VPN tena
🔨🔨🔨🔨Tofauti ya ubongo wako na kinyesi n joto
🔨🔨🔨🔨We mpuuzi unatumia VPN gani?
Mwenye details za huo mgodi na yaliyomo yote please aufungulie thread, I'm smelling a rotten rat there.Lisu yuko ndichi kwa kuusema mgodi wa mawe ,jf nao wameingia matatani kwa kuchapisha ishu ya polepole kuhusu mgodi hivi ni nn kiko nyuma ya huo mgodi amboa km umma hatupaswi kujua? Nani huyo tusiemfahamu ambae anatumia mamla za serikali kuvipigaa 🔐 vyombo vinavyochongoa mdomo?
🔨🔨🔨🔨Jamaa wenzako kichwani wana akili wewe una mavi.
Lucas Mshamba atalilia wapi machozi ya furaha kububujikwa shangwe ya kutiki ?