Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 5,160
- 7,702
Hata Lissu tulimwimbia wimbo huu huu, matokeo yake, mpaka leo hii yupo nyuma ya nguzo peke yake!
Mi ninamshauri, afanye atakachoona kitampa salama!
Hata Lissu tulimwimbia wimbo huu huu, matokeo yake, mpaka leo hii yupo nyuma ya nguzo peke yake!
tukutane hapo Ndola wiki ijayo nakuja ntapita kumsalimia Lucas Mwashamba hapo Igamba getin kwanza..halafu nimuulize vip unajisikiaje jf kufungwa?Nipo Zambia now nimesikitishwa Sana na habari hizi
Last kicks of a dying horse.Kabisa mkuu. Hawa wanalao jambo walikuwa wanatafuta sababu tu za kuifungia jf
Mimi niko gizani sijaelewa. Mbona sasa bado tunapata huu mtandao? Kilichofanyika ni nini?Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums kuchapisha taarifa ya Mwanasiasa Humphrey Polepole kuhusu Rostam kumiliki mgodi wa makaa ya mawe kwa asilimia 70 na taarifa za uhusiano kati ya Rais wa Tanzania na "Mfanyabiashara" Wicknell Chivayo bila kuzingatia mizania.
Kwa mujibu wa TCRA, JamiiForums ilishindwa kutafuta maoni ya Mamlaka husika/Msemaji wa Rais/Serikali, kuthibitisha uhalisia wa picha (za Rais na Chivayo) zilizotumika, na hivyo kuuaminisha Umma taarifa za upande mmoja.
Aidha, TCRA imeeleza kuwa jukwaa la JamiiForums halikudhibiti maudhui yenye lugha ya matusi, kashfa na kejeli dhidi ya Rais wa Tanzania, na kuendelea kuhifadhi maudhui hayo ambayo bado yanapatikana kwa umma.
TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3466708
View attachment 3466706
View attachment 3466707
Ni jambo zuri sanaKwahiyo ndio mpaka VPN tena
Naona tayari wameshafungia,nimejaribu kulog in bila vpn ikagoma.Hata Lissu tulimwimbia wimbo huu huu, matokeo yake, mpaka leo hii yupo nyuma ya nguzo peke yake!
Mi ninamshauri, afanye atakachoona kitampa salama!
Endelea kutiririka tu, don't worry na hizo blah blahs za chawa Msigwa.Mimi niko gizani sijaelewa. Mbona sasa bado tunapata huu mtandao? Kilichofanyika ni nini?
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums kuchapisha taarifa ya Mwanasiasa Humphrey Polepole kuhusu Rostam kumiliki mgodi wa makaa ya mawe kwa asilimia 70 na taarifa za uhusiano kati ya Rais wa Tanzania na "Mfanyabiashara" Wicknell Chivayo bila kuzingatia mizania.
Kwa mujibu wa TCRA, JamiiForums ilishindwa kutafuta maoni ya Mamlaka husika/Msemaji wa Rais/Serikali, kuthibitisha uhalisia wa picha (za Rais na Chivayo) zilizotumika, na hivyo kuuaminisha Umma taarifa za upande mmoja.
Aidha, TCRA imeeleza kuwa jukwaa la JamiiForums halikudhibiti maudhui yenye lugha ya matusi, kashfa na kejeli dhidi ya Rais wa Tanzania, na kuendelea kuhifadhi maudhui hayo ambayo bado yanapatikana kwa umma.
TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3466708
View attachment 3466706
View attachment 3466707
Juzi tu kaka wamenipig ban dah malipo hapa hapa duniani kwa kweli
Situmii iPhone so am not sure...maana apple wana restrictions nyingi sana kwa app design hiyo....Je kwenye iphone unapataje?
Kwani hayo yote ni ya uongo?? Lingine kwani picha zile alizopiga kivile, JF ndiyo wamefanya kazi hiyo?? Si kafanya mwenyewe na kuvujishwa mle mle Magogoni. Chanzo cha uovu wote ule ni hapo hapo Ikulu kwa Wasaidizi wake wasiokubaliana na matendo yake.Ile posting ya juzi iliyosema watu wanatekwa wengine wanawekwa pale pale Ikulu. Wapo watu 36 pale,ambao wametekwa toka enzi ya Magufuli.
Watu wengine wanatekwa wanatekwa wanapelekwa nchi jirani,hata Rwanda ambapo wanakuwa wageni wa that ungentle tall man.
Unapafamu pale Kisarawe, pale Kisarawe,matendo ya Pugu? Unapafamu,si ndiyo? Basi watu wengi wanatekwa wanapelekwa pale. Pale wanapelekwa wale wajeuri sana ili wanyooshwe,au wasiposikia,wauawe.
Umekisikia kituo cha Polisi Sitaki Shari? Umekisikia? Basi pembeni yake pale ipo nyumba ya detention. Kwa mfano, msaidizi wake Membe alipelekwa pale.
Kwa hiyo mimi nikayasoma haya mambo juzi nikaona kwamba this is bad trouble. Vyombo vya Dola vinakamata wahalifu lakini sometimes vinawalipua wapinzani halali wa maovu.
Nikafikiria wiki haitakwisha salama. And so it seems.
Tuliopo nje ya Tanzania tunaupata kama kawaida tena hata bila ya kutumia hiyo VPN yenu.Ni kweli bila VPN haifunguki. Kumbe wameifungia
Ila popoma bana bila VPN bado JF ni accessable 😁😁😁Tuliopo nje ya Tanzania tunaupata kama kawaida tena hata bila ya kutumia hiyo VPN yenu.