Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Kwani hayo yote ni ya uongo?? Lingine kwani picha zile alizopiga kivile, JF ndiyo wamefanya kazi hiyo?? Si kafanya mwenyewe na kuvujishwa mle mle Magogoni. Chanzo cha uovu wote ule ni hapo hapo Ikulu kwa Wasaidizi wake wasiokubaliana na matendo yake.
Uovu gani umetokea kuhusu zile picha? Mi niliona picha tu ya Rais anaongea na mgeni katika sebule. Au ilikuwepo picha nyingine?
 
Ila popoma bana bila VPN bado JF ni accessable 😁😁😁
Kuna Mtu kasema hapo kuwa huko Tanzania bila kuwa na VPN haupatikani na nimemwambia kwa tulio nje ya Tanzania tunaupata kama kawaida tatizo liko wapi?
 
CCM na serikali yao ni waoga na wamefunikwa na uvuli wa mauti mkubwa sana. Wanakiona kifo chao waziwazi kabisa. Wanahema kwa hofu na woga mkuu...

No wonder that, anything bad can happen to them any moment from now...

That's why they're so desparate to do anything unthinkable just to make them continue breathing at least for some few days to come...

They are trying to run away from their own shadows, but they can't...

Their end is now...!
 
Naunga mkono hoja, haiwezekani jukwaa litumike Kwa maslahi ya vikundi au watu badala ya Umma.

Pole sana ila sheria zifuatwe.

Nawashauri TCRA wangefungia jukwaa la siasa na mengine ambayo yanaandika siasa ,then Yale mengine yasalie na wamiliki wadhibiti maudhui y Kisiasa kwenye majukwaa yasiyo ya siasa.
Mpuuzi we
 
Back
Top Bottom