Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Hivi watu hawakujua haya? Si ilianza kwa TAL kisha CHADEMA!
Nyerere alisema '' ukishakula nyama ya mtu, hutaacha...''

Na wala msifikiri itaishia JF, hii inakuja hadi chumbani mliko lala!

Halafu kuna Wapumbavu wanasema '' tutalinda kura'' sasa wasubiri habari zao kupitia TBC

JokaKuu MALCOM LUMUMBA
 
Siwezi pasuka labda nyie ambao mnapata maisha via jf ndio mtapasuka
Ungekuwa unajua kuwa niko hapo nyuma yako na ofisi zetu zinatazamana, ungecheka sana na kutoamini...

Unadhani wote tulio kwenye msafara wa mgombea wa CCM tunamuunga mkono...?

Never, ever....!

Tunamlia timing tu before we strike...
 
Mtashindwa ku strike Hadi 2030 maana Toka 2021 mnamlia timing tu 😂😂

Mwisho ingekuwa kazi unafanya wewe,order unatoa wewe ndio ungefanya hayo vinginevyo njaa zako zitafanya uishie Kuandika jf na hakuna kitu utafanya.

Rais sio mama au baba Yako utamlinda Kwa lazima Kwa mujibu wa sheria na kiapo.
 
Mkuu hauna akili
 
Back
Top Bottom