Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

mods watakuwa wahariri wa content za watu.
Capture.PNG
 
Huyu Raisi wa hovyo nafikiri ana IQ ndogo sana, kuziba watu midomo, utekaji, kesi fake na mauaji ndio sifa yake kubwa, sasa yuko busy kudanganya wananchi wampigie kura kwa uchaguzi fake anaogombea peke yake
 
Ikulu wanatakiwa wawe makini na picha zinazopigwa kisha kutumwa mtandaoni sio waziruhusu alafu watu wakizitumia wanafungiwa wao. Huo ni uonevu!
 
Twitter [X ] kwa wanaoishi Tanzania haipatikani bila VPN.

Naona kwa mawe ya binti Kimambi suluhisho la mwisho nayo Instagram itakuwa geo blocked kupunguza mashambulizi.

Kufungia kabisa hawawezi wanafanya geo blocking.
Si ndio maana ya kushindwa mzee au haujaelewa vema nilichokisema?

Na hapa JF pia wamefeli sababu JF inaendelea kuoperate kama hivi tupo hewani na tunakiwasha kama kawaida.
 
Back
Top Bottom