Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Daaah acha kabisa unaweza fikiria usipate jibu
Hii ni zaidi ya kufosi king kwa maneno ya mtaani.
Ni zaid ya hatari
 
Au tangu siku kadhaa nyuma ilikuwa huru sema ni Mimi tu nilikuwa sijabaini?

Hapa natiririka tu nikiwa zangu huku mbozi bila kizuizi Wala kivushaji chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…