Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4

Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,377
Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) leo imewataka wamiliki wote wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4 zijazo

Taarifa ya Mamlaka hiyo imewataka wamiliki kuzisajili Makao Makuu Dar au katika ofisi zao zilizopo Arusha, Dodoma, iringa, Mwanza, Mtwara, Mbeya, Kilimanjaro, Kigoma, Songea, Tabora, Tanga na Zanzibar

TCAA imeonya kuwa watakaoukiuka utaratibu huo wataadhibiwa kwa mujibu wa Sheria na kwamba Mamlaka hiyo na Polisi wameandaa kikosi kazi kitakachohakikisha Sheria inazingatiwa

Drone.jpg

===

The Tanzania Civil Aviation Association has on Monday August 24 issued an order to all owners of drones to register them in the next four days

According to a statement issued by TCAA the order affects both drones that had been registered and those that were yet to be registered in accordance to the Civil Aviation Remotely Piloted Aircraft System Regulations, 2018, G.N 758

“Owners are required to register at TCAA headquarters, Banana- Ukonga in Dar es Salaam or at the zonal offices in Arusha, Dodoma, Iringa, Mwanza, Mtwara, Mbeya, Kilimanjaro, Kigoma, Songea, Tabora, Tanga, and Zanzibar,” reads the statement

The authority warns that whoever will be found in violation of the established procedure will face serious legal consequences, adding that together with the police they have put in place a task force that will make sure the law is followed

Alongside other requirements the Civil Aviation Remotely Piloted Aircraft System Regulations, 2018 requires owners to apply for permits from TCAA before ordering and registering drones in Tanzania

The regulation also requires owners to apply for permits from TCAA and ask for permission from the police and local authorities in the area where the equipment is to be used

Source: The Citizen

====
Maoni ya Wadau

Wengi mnaoshangazwa na hii taarifa mmeangalia upande mmoja tu wa shilingi.

Mnaichukulia drone kama toy au personal gadget, ila ukienda mbali drone inaweza kutumika kama silaha.

Mfano mdogo tu huu hapa.
Utajisikiaje jirani yako au mtu usiye mfahamu kuchungulia nyumbani kwako, au kuangalia chochote kilichopo ndani ya mipaka yako bila ruhusa yako?

Drone inaweza kufanya yafuatayo
1. Kubeba vilipuzi
2. Kupiga picha za siri
3. Kufanya uhalifu ( naweza kubeba chakula chenye sumu kwa drone na ku drop kwenye nyumba yenye mbwa wakali, kwa lengo la kudhoofisha ulinzi)
4. Drone inaweza kutumika kuharibu security cameras kwa lengo la kufanya uhalifu.
5.Drone inaweza kutumika kumfatilia mtu kwa lengo la kumdhuru au kumpora.
6.Drone inaweza kutumika kuharibu au kusababisha shoti kwenye power lines

Hayo ni machache ambayo drone ikitumiwa ndivyo sivyo inaweza kugharimu maisha ya watu, privacy na usalama kwa ujumla.
 
Ushenzi wa washamba, kweli linchi hili limenishinda. Sirudi tz.
Mkuu punguza lugha kali.
Drone ni chombo hatari sana kama kikitumiwa bila utaratibu maalum au uangalizi.
Kumbuka yule Kamanda wa Iran aliuwawa na drone.

Kumbuka drone zilitumika kushambulia visima vya mafuta huko Saudi Arabia na kusababisha hasara ya mabilioni ya dola.
Drone zimetumika kushambulia na kufanya ujasusi katika matukio mbalimbali duniani, na kuna uwezekano mkubwa sana zikatumika kufanyia ughaidi.

Fikiria mtu akifunga kinyunyizi cha nerve gas au sumu yeyote akawadondoshea watu matone au punje chache kama kwenye kampeni au uwanja wa taifa, atauwa watu wangapi?

Fikiria mtu akifunga bomu (plastic bomb kama la C4) kwenye drone akaenda kugongesha jengo au kulitupa kwenye umati au sehemu nyeti atauwa watu wangapi?

Fikiria wakati huu wa kampeni za uchaguzi mtu akigongesha drone kwenye helicopter ya mgombea yeyote hakutatokea machafuko nchi hii kwamba ameuwawa na taasisi au watu flani?

Tuache matusi na kuona wataalam wetu ni wajinga au washenzi, washamba, siyo wasomi huku wewe ukijiona ndiyo unajua kuliko hao wataalam wengi waliosomea mambo ya usalama na anga.

Wewe usirudi TZ hakuna tunachopungukiwa kwa kutokuwepo kwako TZ. Unatupunguzia watu waliokosa hekima tu.
 
Back
Top Bottom