Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni.
Mnaweza kuvitumia vi drone vyenu kuingilia kampeni za wagombea wa ccm,
MAMLAKA INATAFUTA FEDHA ZA GAWIO, bado kusajili chaja za simu na kamera zote,
Ha haaaaaaaa.....Wameshaanza kuhanyahanya!😀 na zile ambazo wanatumia kwenye shughuli za harusi nazo zinahusika?
Nafikiri hii ndio sababu kubwa iliyowazindua kukazia hii sheria. Hata hivyo, ni sheria ambayo imekuwapo kitambo ila haikutiliwa mkazo, na kwa kweli haina ubaya hata nchi zilizoendelea kama Marekani wanasisitiza hili suala la registration (Kibali?) na requirements zao ni pana zaidi.Sheria ilikuwa inataka uwe na kibali, hii ya Sasa ni usajili...kwa hiyo hata ukiwa nazo tano kila moja iwe na usajili wake.
Halafu popote utapozitumia uombe kibali Polisi na serikali ya mtaa husika.
Wanataka kujua zinazopiga kwenye mikutano ya Lisu ni za nani.?
ndiyo hizo eti zinatakiwa zikasajiliwe na mamlaka ya anga 🤣 🤣 🤣Hizi drone tunazotumia kwenye shooting zinahusika ama? Yani hii nchi kwa kweli
Ndio ujue wengi nyumbu kweli wengine hata wanachokibishia hawakijui ndio maana wanalinganisha drone na tiara, hivyo vitu viwili wapi na wapi? Binafsi nilikuwa sijui kama hazijasajiliwa nimestukaHapo juu naona nyumbu wa upinzani wanaitukana serikali kwa kitu ambacho hawakijui vizuri. Hivi munakumbuka kuwa drone ilibeba vilipuzi na kutaka kumuua Madulo rais wa Venezuela?.
Anga inaanzia wapi?Drones zinatumia anga,
kisheria vyombo vyote vinavyotumia anga ku operate, vinakua chini yao.
Yawezekana hujui kazi hatari zinazoweza kufanyika na hizi dronesUshenzi wa washamba, kweli linchi hili limenishinda. Stupid people everywhere. Sirudi tz.
Drone nyingi ni ndege zinazo endeshwa na rubani aliye mbali na nje ya hiyo ndege(drone).Isiyo na rubani
Ni kweli Mawazo yameishia hapo [emoji44][emoji44][emoji44]Kwahiyo mpaka vile vishada wanavotengeza watoto pia vikasajiliwe
Binafsi nimekuelewa hii comment yako mkuu,nadhani mamlaka husika wangetoa sababu kadhaa kwanini wanataka zisajiliwe kama ulivyoainisha hapa,huu mkanganyiko usingekuwepoWengi mnaoshangazwa na hii taarifa mmeangalia upande mmoja tu wa shilingi.
Mnaichukulia drone kama toy au personal gadget, ila ukienda mbali drone inaweza kutumika kama silaha.
Mfano mdogo tu huu hapa.
Utajisikiaje jirani yako au mtu usiye mfahamu kuchungulia nyumbani kwako, au kuangalia chochote kilichopo ndani ya mipaka yako bila ruhusa yako?
Drone inaweza kufanya yafuatayo
1. Kubeba vilipuzi
2. Kupiga picha za siri
3. Kufanya uhalifu ( naweza kubeba chakula chenye sumu kwa drone na ku drop kwenye nyumba yenye mbwa wakali, kwa lengo la kudhoofisha ulinzi)
4. Drone inaweza kutumika kuharibu security cameras kwa lengo la kufanya uhalifu.
5.Drone inaweza kutumika kumfatilia mtu kwa lengo la kumdhuru au kumpora.
6.Drone inaweza kutumika kuharibu au kusababisha shoti kwenye power lines
Hayo ni machache ambayo drone ikitumiwa ndivyo sivyo inaweza kugharimu maisha ya watu, privacy na usalama kwa ujumla.
Chura wa kisimaniYaani drone nayo ni ndege au?
Nadhani drone ilitumika kubeba vilipuzi hata kwenye sherehe ya kijeshi kule Venezuela na Zimbabwe wakati wa kampeni za Munangagwa.Mkuu punguza lugha kali.
Drone ni chombo hatari sana kama kikitumiwa bila utaratibu maalum au uangalizi.
Kumbuka yule Kamanda wa Iran aliuwawa na drone.
Kumbuka drone zilitumika kushambulia visima vya mafuta huko Saudi Arabia na kusababisha hasara ya mabilioni ya dola.
Drone zimetumika kushambulia na kufanya ujasusi katika matukio mbalimbali duniani, na kuna uwezekano mkubwa sana zikatumika kufanyia ughaidi.
Fikiria mtu akifunga kinyunyizi cha nerve gas au sumu yeyote akawadondoshea watu matone au punje chache kama kwenye kampeni au uwanja wa taifa, atakuwa watu wangapi?
Fikiria mtu akifunga bomu (plastic bomb kama la C4) kwenye drone akaenda kugongesha jengo au kulitupa kwenye umati au sehemu nyeti atauwa watu wangapi?
Fikiria wakati huu wa kampeni za uchaguzi mtu akigongesha drone kwenye helicopter ya mgombea yeyote hakutatokea machafuko nchi hii kwamba ameuwawa na taasisi au watu flani?
Tuache matusi na kuona wataalam wetu ni wajinga au washenzi, washamba, siyo wasomi huku wewe ukijiona ndiyo unajua kuliko hao wataalam wengi waliosomea mambo ya usalama na anga.
Wewe usirudi TZ hakuna tunachopungukiwa kwa kutokuwepo kwako TZ. Unatupunguzia watu waliokosa hekima tu.