Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4

Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4

Ushenzi wa washamba, kweli linchi hili limenishinda. Sirudi tz.
hapana mkuu. Serikali inafanya kazi yake. Vinatakiwa viwe monitored otherwise vinaweza vikaleta madhara vikirushwa ovyo ovyo. Anga ni mali ya serikali na lazima waangalie usalama pia. Drones zinafanya kazi nyingi sana siku hizi hata kubeba mabomu.
 
Watanzania kweli tumeamua kuweka brain zetu pembeni nakuendeshwa na Hisia tu kwa sasa
TCAA wako sahihi sana na hiyo act ipo muda mrefu ongezeko la unregistered drones kwenye Rallies za kisiasa ni hatari kwa usalama wetu, Drone ziko katika range kuna hivi vidogo for picture na kuna ile midude haswa mojawapo ilitumika kulipua convoy ya Major Qasim Solemain, Ni lazima hivi vyombo viwe monitored ili kuepusha matukio haswa ya ulipuaji na kuna maeneo ni strictly Prohibited ku-fly hizo drone, Drone freezone

Still kwenye public gatherings ikatokea Explosion na sababu ikawa drone mtalaumu TCAA, Let them do their works
 
Sheria hii mbona imetungwa mda mrefu,sema walikuwa sjui wamelala wapi kuanza utekelezaji
Sheria ilikuwa inataka uwe na kibali, hii ya Sasa ni usajili...kwa hiyo hata ukiwa nazo tano kila moja iwe na usajili wake.

Halafu popote utapozitumia uombe kibali Polisi na serikali ya mtaa husika.

Wanataka kujua zinazopiga kwenye mikutano ya Lissu ni za nani.?
 
Kuishi Tz ni kama vile unaishi Shule ya bweni, sheria kibao!
Afrika Kusini, Albania, Rwanda, Uganda, Uswissi na Ujerumani ' Drones ' zinasajiliwa na kupewa leseni na leseni zinayo madaraja.

Mfano, Drone A-123 inaruhusa ya kufanya kazi maeneo ya asili (Nature).

Drone A-125 inaruhusa ya kutumika katika matukio ya habari.

Drone C-890 inaruhusa ya kutumika katika maeneo ya miji na makazi ya watu.

Drone GJ-260 inaruhusa katika uandaaji filamu na picha za sanaa au matangazo.
 
Watanzania kweli tumeamua kuweka brain zetu pembeni nakuendeshwa na Hisia tu kwa sasa
TCAA wako sahihi sana na hio act ipo muda mrefu ongezeko la unregistered drones kwenye Rallies za kisiasa ni hatari kwa usalama wetu, Drone ziko katika range kuna hivi vidogo for picture na kuna ile midude haswa mojawapo ilitumika kulipua convoy ya Major Qasim Solemain, Ni lazima ivi vyombo viwe monitored ili kuepusha matukio haswa ya ulipuaji na kuna maeneo ni strictly Prohibited ku fly izo drone, Drone freezone
Still kwenye public gatherings ikatokea Explosion na sababu ikawa drone mtalaumu TCAA, Let them do their works
Mkuu achana nao. Hao ni nyumbu wazee wa pingapinga kila jambo. Ndio maana serikali iliamua kuwapuuza kwakuwa wanauelewa mdogo sana wa mambo.
 
Wengi mnaoshangazwa na hii taarifa mmeangalia upande mmoja tu wa shilingi.

Mnaichukulia drone kama toy au personal gadget, ila ukienda mbali drone inaweza kutumika kama silaha.

Mfano mdogo tu huu hapa.
Utajisikiaje jirani yako au mtu usiye mfahamu kuchungulia nyumbani kwako, au kuangalia chochote kilichopo ndani ya mipaka yako bila ruhusa yako?

Drone inaweza kufanya yafuatayo
1. Kubeba vilipuzi
2. Kupiga picha za siri
3. Kufanya uhalifu ( naweza kubeba chakula chenye sumu kwa drone na ku drop kwenye nyumba yenye mbwa wakali, kwa lengo la kudhoofisha ulinzi)
4. Drone inaweza kutumika kuharibu security cameras kwa lengo la kufanya uhalifu.
5.Drone inaweza kutumika kumfatilia mtu kwa lengo la kumdhuru au kumpora.
6.Drone inaweza kutumika kuharibu au kusababisha shoti kwenye power lines

Hayo ni machache ambayo drone ikitumiwa ndivyo sivyo inaweza kugharimu maisha ya watu, privacy na usalama kwa ujumla.
Kwani ikisajiliwa ndo mtu hawezi kuitumia kufanya hayo uliyosema?.Kila kitu duniani kinaweza kua silaha au kikatumika isivyostahili.Na tatizo sio kuzisajili bali inaonekana kama tunataka kukuza mambo kupitia sheria zetu hizi tunazozitunga kila mara nalengo likiwa sio kuboresha matumizi sahihi bali kukomesha na kuzibiti kwanamna yakukwamisha matumizi.
 
IMG_20200824_145757.jpg
 
Mhe. Lissu atakonesha upuuzi huu
Kwa hivyo Lissu atavunja makubaliano na mikataba ya kimataifa kuhusu mambo ya usafiri wa anga?
Kusajiri Drone au UAS(Unmanned Aircraft Systems) ni takwa la kisheria kwa mujibu wa Chicago Convention kuhusu usafiri wa angani chini ya ICAO regulations.
Soma hapo chini kipande cha nukuu ..

"PILOTLESS AIRCRAFT
Article 8 of the Convention on International Civil Aviation, signed at Chicago on 7 December 1944
and amended by the ICAO Assembly (Doc 7300) (hereinafter referred to as ā€œthe Chicago Conventionā€) stipulates that:
No aircraft capable of being flown without a pilot shall be flown without a pilot over the territory of a contracting State without special authorization by that State and in accordance with the terms of such authorization...."
 
Kwani ikisajiliwa ndo mtu hawezi kuitumia kufanya hayo uliyosema?.Kila kitu duniani kinaweza kua silaha au kikatumika isivyostahili.Na tatizo sio kuzisajili bali inaonekana kama tunataka kukuza mambo kupitia sheria zetu hizi tunazozitunga kila mara nalengo likiwa sio kuboresha matumizi sahihi bali kukomesha na kuzibiti kwanamna yakukwamisha matumizi.

Mimi nakupa maswali machache tu.

Wewe kama msimamizi na mdhibiti

Umeona kuna matumizi fulani ya kifaa fulani yanaweza kutishia usalama endapo yatatumika ndivyo sivyo.

Utafanya yapi?

Je utawaambia wananchi tumieni drone zenu vizuri, msifanye haya yasiyotakiwa kisha utakua umemaliza?

Turudi kwenye kusajili.
Lengo la kusajili ni kuwa na taarifa rasmi za watumiaji.

Mfano ni silaha, kumiliki kuna taratibu za kufuatilia na kusajiliwa umiliki wako.

kesho na keshokutwa ikikutwa inatumika vibaya basi anajulikana muhusika au aliyekabidhiwa ni mtu fulani huoni kama ni jambo zuri kupata taarifa muhimu kama hizo.

Yakitokea maafa yaliyosababishwa tuseme na matumizi mabaya ya drones unadhani wakwanza kulaumiwa atakua nani.
 
Kwa hivyo Lissu atavunja makubaliano na mikataba ya kimataifa kuhusu mambo ya usafiri wa anga?
Kusajiri Drone au UAS(Unmanned Aircraft Systems) ni takwa la kisheria kwa mujibu wa Chicago Convention kuhusu usafiri wa angani chini ya ICAO regulations.
Soma hapo chini kipande cha nukuu ..

"PILOTLESS AIRCRAFT
Article 8 of the Convention on International Civil Aviation, signed at Chicago on 7 December 1944
and amended by the ICAO Assembly (Doc 7300) (hereinafter referred to as ā€œthe Chicago Conventionā€) stipulates that:
No aircraft capable of being flown without a pilot shall be flown without a pilot over the territory of a contracting State without special authorization by that State and in accordance with the terms of such authorization...."
Huo tu ndo mnaujua? Mbona mkataba wa kimataifa ule unaokataza watu kutekwa na kuuawa kwa kusopekwa kwenye magunia hamuuzungumzii??!

Huu upuuzi umefika mwisho!! Tumewachoka aisee
 
Back
Top Bottom