Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4

Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4

Wao kwa kibaraka Lisu ni kila kitu
Kuna watu wamekuwa wajinga kwa kukabidhi akili yao na kila kitu kuhusu maisha yao kwa wanasiasa.

Hiyo sheria na utaratibu wa kusajiri drone au UAS ni wa duniani kote, hadi nchi zote za Ulaya, America na Asia wanafuata utaratibu huu lakini wanatofautiana kwenye vipengele vidovidogo tu vya hayo mashariti ya kurusha drone.

Hivi vyombo ni hatari hata kwa abiria wengine wanaotumia usafiri wa anga kupitia ndege zenye rubani.

Drone ni hatari kwenye usalama wa nchi zisipowekewa utaratibu mzuri.
 
Maafa gani?
Hatari gani?
Soma hapo chini
Mkuu punguza lugha kali.

Drone ni chombo hatari sana kama kikitumiwa bila utaratibu maalum au uangalizi.

Kumbuka yule Kamanda wa Iran aliuwawa na drone.

Kumbuka drone zilitumika kushambulia visima vya mafuta huko Saudi Arabia na kusababisha hasara ya mabilioni ya dola.

Drone zimetumika kushambulia na kufanya ujasusi katika matukio mbalimbali duniani, na kuna uwezekano mkubwa sana zikatumika kufanyia ughaidi.

Fikiria mtu akifunga kinyunyizi cha nerve gas au sumu yeyote akawadondoshea watu matone au punje chache kama kwenye kampeni au uwanja wa taifa, atakuwa watu wangapi?

Fikiria mtu akifunga bomu (plastic bomb kama la C4) kwenye drone akaenda kugongesha jengo au kulitupa kwenye umati au sehemu nyeti atauwa watu wangapi?

Fikiria wakati huu wa kampeni za uchaguzi mtu akigongesha drone kwenye helicopter ya mgombea yeyote hakutatokea machafuko nchi hii kwamba ameuwawa na taasisi au watu flani?

Tuache matusi na kuona wataalam wetu ni wajinga au washenzi, washamba, siyo wasomi huku wewe ukijiona ndiyo unajua kuliko hao wataalam wengi waliosomea mambo ya usalama na anga.

Wewe usirudi TZ hakuna tunachopungukiwa kwa kutokuwepo kwako TZ. Unatupunguzia watu waliokosa hekima tu.
 
Kama unamiliki tiara,kuku,bata...na ungo wa kurukia usiku au kama ni mruka sarakasi na ngongoti,mchoma mapori,mpiga FATAKI mwaka mpya... tukutane kwenye usajili hapa Dom,maana unatumia anga bila usajili
 
Watanzania kweli tumeamua kuweka brain zetu pembeni nakuendeshwa na Hisia tu kwa sasa
TCAA wako sahihi sana na hiyo act ipo muda mrefu ongezeko la unregistered drones kwenye Rallies za kisiasa ni hatari kwa usalama wetu, Drone ziko katika range kuna hivi vidogo for picture na kuna ile midude haswa mojawapo ilitumika kulipua convoy ya Major Qasim Solemain, Ni lazima hivi vyombo viwe monitored ili kuepusha matukio haswa ya ulipuaji na kuna maeneo ni strictly Prohibited ku-fly hizo drone, Drone freezone

Still kwenye public gatherings ikatokea Explosion na sababu ikawa drone mtalaumu TCAA, Let them do their works
Kwaiyo adi za watoto ambazo hazina camera zinaitaji kusajiliwa wasije muingiza mwanangu kwenye kesi ya uhaini bure?
 
Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) leo imewataka wamiliki wote wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4 zijazo

Taarifa ya Mamlaka hiyo imewataka wamiliki kuzisajili Makao Makuu Dar au katika ofisi zao zilizopo Arusha, Dodoma, iringa, Mwanza, Mtwara, Mbeya, Kilimanjaro, Kigoma, Songea, Tabora, Tanga na Zanzibar

TCAA imeonya kuwa watakaoukiuka utaratibu huo wataadhibiwa kwa mujibu wa Sheria na kwamba Mamlaka hiyo na Polisi wameandaa kikosi kazi kitakachohakikisha Sheria inazingatiwa


===

The Tanzania Civil Aviation Association has on Monday August 24 issued an order to all owners of drones to register them in the next four days

According to a statement issued by TCAA the order affects both drones that had been registered and those that were yet to be registered in accordance to the Civil Aviation Remotely Piloted Aircraft System Regulations, 2018, G.N 758

“Owners are required to register at TCAA headquarters, Banana- Ukonga in Dar es Salaam or at the zonal offices in Arusha, Dodoma, Iringa, Mwanza, Mtwara, Mbeya, Kilimanjaro, Kigoma, Songea, Tabora, Tanga, and Zanzibar,” reads the statement

The authority warns that whoever will be found in violation of the established procedure will face serious legal consequences, adding that together with the police they have put in place a task force that will make sure the law is followed

Alongside other requirements the Civil Aviation Remotely Piloted Aircraft System Regulations, 2018 requires owners to apply for permits from TCAA before ordering and registering drones in Tanzania

The regulation also requires owners to apply for permits from TCAA and ask for permission from the police and local authorities in the area where the equipment is to be used

Source: The Citizen



====
Maoni ya Wadau
Sawa tutasajili lakini ada isizidi bei ya drone wamiliki wengine wanatumia kupigia picha kwenye maharusi tu
 
Ukitegemea pesa za Kodi ziendeshe nchi alafu unafungia pesaa watu wanafunga Biashara zao hakikaa utaonjaa jotoo ya jiwee tuu...!! Sasa ndo kinachotokea now yani mapato inabdi yalazimishweee mpaka kibubu kijaee...
 
Kwa hiyo ukiisajili Utajua drone gani imebeba mifupa?????
Nadhani drone ilitumika kubeba vilipuzi hata kwenye sherehe ya kijeshi kule Venezuela na Zimbabwe wakati wa kampeni za Munangagwa.

Huku kwetu, kuna mbwa wa jirani yetu waliuawa kwa sumu, tunadhani mtekelezaji alitumia kitu kama drone kubebea minofu ya kuku.
 
Wameona Upinzani wanatimia Drones kwenye kurekodi mikutano Kwa ajili ya usalamaa fisiemu hawafaii aisee na jambazi mkuu jiwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa mwendo huu hata helicopter kutumika katika uchaguzi huu ni shida. Hasa kwa vyama mbadala.
 
Back
Top Bottom