Drones zina viwango vyake. Sijui kama wamejumuisha hivi drone vinavyotumika kwenye arusiMamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) leo imewataka wamiliki wote wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4 zijazo
Taarifa ya Mamlaka hiyo imewataka wamiliki kuzisajili Makao Makuu Dar au katika ofisi zao zilizopo Arusha, Dodoma, iringa, Mwanza, Mtwara, Mbeya, Kilimanjaro, Kigoma, Songea, Tabora, Tanga na Zanzibar
TCAA imeonya kuwa watakaoukiuka utaratibu huo wataadhibiwa kwa mujibu wa Sheria na kwamba Mamlaka hiyo na Polisi wameandaa kikosi kazi kitakachohakikisha Sheria inazingatiwa
===
The Tanzania Civil Aviation Association has on Monday August 24 issued an order to all owners of drones to register them in the next four days
According to a statement issued by TCAA the order affects both drones that had been registered and those that were yet to be registered in accordance to the Civil Aviation Remotely Piloted Aircraft System Regulations, 2018, G.N 758
“Owners are required to register at TCAA headquarters, Banana- Ukonga in Dar es Salaam or at the zonal offices in Arusha, Dodoma, Iringa, Mwanza, Mtwara, Mbeya, Kilimanjaro, Kigoma, Songea, Tabora, Tanga, and Zanzibar,” reads the statement
The authority warns that whoever will be found in violation of the established procedure will face serious legal consequences, adding that together with the police they have put in place a task force that will make sure the law is followed
Alongside other requirements the Civil Aviation Remotely Piloted Aircraft System Regulations, 2018 requires owners to apply for permits from TCAA before ordering and registering drones in Tanzania
The regulation also requires owners to apply for permits from TCAA and ask for permission from the police and local authorities in the area where the equipment is to be used
Source: The Citizen
====
Maoni ya Wadau
Sisi tunaoruka sarakasi na kubiringika juu kwa juu angani zamu yenu inakaribia piaDrones zinatumia anga,
kisheria vyombo vyote vinavyotumia anga ku operate, vinakua chini yao.
Mkuu una amini sana hadithi za vijiweni za wanasiasa uchwara.Taarifa za ndani zinasema lengo la kuamsha sheria hii n kudhibiti drone za ulinzi za kiongozi flani wa upinzni na pia kudhibiti drone zinazompiga picha kwa lengo la kudhibiti ulinzi na kudhibiti upigaji picha unaoonyesha nyomi.
Na tiara tunazotengeneza kwa ajili ya watoto nazo tukasajili?Maana nazo hutumia anga!Drones zinatumia anga,
kisheria vyombo vyote vinavyotumia anga ku operate, vinakua chini yao.
Kama zitasijiliwa,hayo uliyotaja hapo yanawezaje kuepukika kama mmiliki ana nia ovu?Wengi mnaoshangazwa na hii taarifa mmeangalia upande mmoja tu wa shilingi.
Mnaichukulia drone kama toy au personal gadget, ila ukienda mbali drone inaweza kutumika kama silaha.
Mfano mdogo tu huu hapa.
Utajisikiaje jirani yako au mtu usiye mfahamu kuchungulia nyumbani kwako, au kuangalia chochote kilichopo ndani ya mipaka yako bila ruhusa yako?
Drone inaweza kufanya yafuatayo
1. Kubeba vilipuzi
2. Kupiga picha za siri
3. Kufanya uhalifu ( naweza kubeba chakula chenye sumu kwa drone na ku drop kwenye nyumba yenye mbwa wakali, kwa lengo la kudhoofisha ulinzi)
4. Drone inaweza kutumika kuharibu security cameras kwa lengo la kufanya uhalifu.
5.Drone inaweza kutumika kumfatilia mtu kwa lengo la kumdhuru au kumpora.
6.Drone inaweza kutumika kuharibu au kusababisha shoti kwenye power lines
Hayo ni machache ambayo drone ikitumiwa ndivyo sivyo inaweza kugharimu maisha ya watu, privacy na usalama kwa ujumla.
Kitu kikisajiliwa ni rahisi kukitrack endapo kitatumika vibaya.Kwani ikisajiliwa ndo mtu hawezi kuitumia kufanya hayo uliyosema?.Kila kitu duniani kinaweza kua silaha au kikatumika isivyostahili.Na tatizo sio kuzisajili bali inaonekana kama tunataka kukuza mambo kupitia sheria zetu hizi tunazozitunga kila mara nalengo likiwa sio kuboresha matumizi sahihi bali kukomesha na kuzibiti kwanamna yakukwamisha matumizi.
Daah unazijua drones za kivita wewe?Hizo ni tofauti sana na hivi vitoy vya kupigia picha!Hebu kuweni serious na msitufanye wajinga!Nchi zilizoendelea kama marekani hizo drones vitoy zipo kama njugu na hazijawahi kuwa tstizo kama mnavyotaka kuaminisha watu!Mkuu punguza lugha kali.
Drone ni chombo hatari sana kama kikitumiwa bila utaratibu maalum au uangalizi.
Kumbuka yule Kamanda wa Iran aliuwawa na drone.
Kumbuka drone zilitumika kushambulia visima vya mafuta huko Saudi Arabia na kusababisha hasara ya mabilioni ya dola.
Drone zimetumika kushambulia na kufanya ujasusi katika matukio mbalimbali duniani, na kuna uwezekano mkubwa sana zikatumika kufanyia ughaidi.
Fikiria mtu akifunga kinyunyizi cha nerve gas au sumu yeyote akawadondoshea watu matone au punje chache kama kwenye kampeni au uwanja wa taifa, atauwa watu wangapi?
Fikiria mtu akifunga bomu (plastic bomb kama la C4) kwenye drone akaenda kugongesha jengo au kulitupa kwenye umati au sehemu nyeti atauwa watu wangapi?
Fikiria wakati huu wa kampeni za uchaguzi mtu akigongesha drone kwenye helicopter ya mgombea yeyote hakutatokea machafuko nchi hii kwamba ameuwawa na taasisi au watu flani?
Tuache matusi na kuona wataalam wetu ni wajinga au washenzi, washamba, siyo wasomi huku wewe ukijiona ndiyo unajua kuliko hao wataalam wengi waliosomea mambo ya usalama na anga.
Wewe usirudi TZ hakuna tunachopungukiwa kwa kutokuwepo kwako TZ. Unatupunguzia watu waliokosa hekima tu.
Unajua akili za kukariri vitu ni shida sana.Daah unazijua drones za kivita wewe?Hizo ni tofauti sana na hivi vitoy vya kupigia picha!Hebu kuweni serious na msitufanye wajinga!Nchi zilizoendelea kama marekani hizo drones vitoy zipo kama njugu na hazijawahi kuwa tstizo kama mnavyotaka kuaminisha watu!
Mmeona Lissu ana ulinzi na vifaa vya kuchukua matukio mmeanza kuja na upuuzi!
Yaani drone kitoy ikaangushe Boeing Kwa kugongesha?Uko timamu kweli?Umetoa mfano wa shambulio la Iran,hivi unajua size ya drones za marekani zilizoshambulia msafara ule?Au unajua ni drone kama hz za kufungia camera?Zile ni jet kabisa sema hazina rubani!Sasa wew unalinganisha na hivi vitoy vinavyotumia motor na betri😁😁😁😁!!?Unajua akili za kukariri vitu ni shida sana.
Bomu la C4 ukubwa wa kiberiti linaeza kushusha ghorofa mojawapo ya yale Twin Towers za BOT. Hilo bomu huwezi bandika kwenye Drone camera na kwenda kugongesha kwenye hilo jengo?
Kama ndege mdogo kabisa anaweza kuwasha moto injini ya ndege (bird strike) na kuangusha ndege, je drone iliyofungwa baruti aubomu dogo la C4 haiwezi kugongeshwa kwenye helicopter kwa makusudi ikauwa watu?
Ukiende eneo la Jet au Kipawa au Kitunda au Banana Ukonga ukarusha drone ukagongesha kwenye ndege ya abiria 200 na kitu au 300 wakati inaruka au wakati inatua hauwezi kungusha ndege na kuuwa watu?
Acheni kufikiria kama watoto.
Japan wanaotengeneza drone kibao hawaruhusu kurusha drone yeyote yenye uzito kuanzia 1kg kwenye anga yao itakuwa, je hapa nchini hakuna drone za uzito zaidi ya hizo?
Mtu anaweza kurusha drone yenye camera uswahilini kwenye choo zisizo funikwa paa na kuchungulia watu, je uliliwaza hili jambo?
"Legislation to regulate drones was recently proposed in Japan after an April 2015 incident in which a small drone was discovered on the roof of the Japanese Prime Minister’s office building in Tokyo.1 At that time, there was no regulation in place to prohibit the flying of such devices. The drone operator was indicted and received a suspended sentence of two years’ imprisonment for the criminal act of forcible obstruction of business.2
Following this incident, the ruling Liberal Democratic Party (LDP) submitted a bill to the Diet (Japan’s Parliament) in June 2015 to regulate flights of unmanned aerial vehicles (UAVs) over certain areas.3 The second bill, which amended the Aviation Act,4 was submitted by the Cabinet in July 2015.5 The Diet passed both of these bills, whose provisions are discussed below."
Wengi mnaoshangazwa na hii taarifa mmeangalia upande mmoja tu wa shilingi.
Mnaichukulia drone kama toy au personal gadget, ila ukienda mbali drone inaweza kutumika kama silaha.
Mfano mdogo tu huu hapa.
Utajisikiaje jirani yako au mtu usiye mfahamu kuchungulia nyumbani kwako, au kuangalia chochote kilichopo ndani ya mipaka yako bila ruhusa yako?
Drone inaweza kufanya yafuatayo
1. Kubeba vilipuzi
2. Kupiga picha za siri
3. Kufanya uhalifu ( naweza kubeba chakula chenye sumu kwa drone na ku drop kwenye nyumba yenye mbwa wakali, kwa lengo la kudhoofisha ulinzi)
4. Drone inaweza kutumika kuharibu security cameras kwa lengo la kufanya uhalifu.
5.Drone inaweza kutumika kumfatilia mtu kwa lengo la kumdhuru au kumpora.
6.Drone inaweza kutumika kuharibu au kusababisha shoti kwenye power lines
Hayo ni machache ambayo drone ikitumiwa ndivyo sivyo inaweza kugharimu maisha ya watu, privacy na usalama kwa ujumla.
Nakutumia hii video clip na siendelei kukujibu chochote kuhusu drones sababu najua wewe hauko katika kutaka kuujua ukweli. Kwa taarifa yako mimi by profession wa vyeti na practical ni Flight Operation Officer. Unabishia hadi sheria kuhusu vibali vya kurusha drone angani zilizotungwa na kutiliwa saini na mataifa wanachama huko huko Marekani ulikosifia zimejaa drone.Yaani drone kitoy ikaangushe Boeing Kwa kugongesha?Uko timamu kweli?Umetoa mfano wa shambulio la Iran,hivi unajua size ya drones za marekani zilizoshambulia msafara ule?Au unajua ni drone kama hz za kufungia camera?Zile ni jet kabisa sema hazina rubani!Sasa wew unalinganisha na hivi vitoy vinavyotumia motor na betri😁😁😁😁!!?
Mtu mpaka afikie hatua ya kushambulia kwa kutumia C4,basi hata drone yenyewe ni kiasi cha yeye kujifungia ndani na kutengeneza!ushamba tu unatusumbua!
Basi sawa waachane nazo.Kama zitasijiliwa,hayo uliyotaja hapo yanawezaje kuepukika kama mmiliki ana nia ovu?
Sasa hapo wanazungumzia aircrafts!Sio drones hizi za kufungia camera,unaweza ukawa una elimu lakini hujaelimika!Nakutumia hii video clip na siendelei kukujibu chochote kuhusu drones sababu najua wewe hauko katika kutaka kuujua ukweli. Kwa taarifa yako mimi by profession wa vyeti na practical ni Flight Operation Officer. Unabishia hadi sheria kuhusu vibali vya kurusha drone angani zilizotungwa na kutiliwa saini na mataifa wanachama huko huko Marekani ulikosifia zimejaa drone.
Sheria husika ni hiyo hapo chini nukuu toka kwenye waraka nambari 328 wa ICAO (Circular 328)
"PILOTLESS AIRCRAFT
Article 8 of the Convention on International Civil Aviation, signed at Chicago on 7 December 1944 and
amended by the ICAO Assembly (Doc 7300) (hereinafter referred to as “the Chicago Convention”)
stipulates that:
No aircraft capable of being flown without a pilot shall be flown without a pilot over the territory of a
contracting State without special authorization by that State and in accordance with the terms of such
authorization….
2.1 The Global Air Traffic Management Operational Concept (Doc 9854) states “An unmanned aerial vehicle is
a pilotless aircraft, in the sense of Article 8 of the Convention on International Civil Aviation, which is flown without a
pilot-in-command on-board and is either remotely and fully controlled from another place (ground, another aircraft,
space) or programmed and fully autonomous.” This understanding of UAVs was endorsed by the 35th Session of the
ICAO Assembly."
Nilipanga nisikujibu tena lakini ngoja nikuoneshe ulivyo ongea kitu usichokijua kama vile una kijua.Sasa hapo wanazungumzia aircrafts!Sio drones hizi za kufungia camera,unaweza ukawa una elimu lakini hujaelimika!
Huko chicago hivyo vidrone vya picha vinauzwa kama njugu na wala sio tatizo!
Wewe Unajua nini mlevi mmojaHujui kitu wewe
Nchi hii ndugu imejaa wanjinga na malimbukeni mengine yana vyeti vya vyuo vikuu yako aganist na chochote serkali iliyopo madarakani yoyote si hii wala itakayokua au ilyopita.Mkuu punguza lugha kali.
Drone ni chombo hatari sana kama kikitumiwa bila utaratibu maalum au uangalizi.
Kumbuka yule Kamanda wa Iran aliuwawa na drone.
Kumbuka drone zilitumika kushambulia visima vya mafuta huko Saudi Arabia na kusababisha hasara ya mabilioni ya dola.
Drone zimetumika kushambulia na kufanya ujasusi katika matukio mbalimbali duniani, na kuna uwezekano mkubwa sana zikatumika kufanyia ughaidi.
Fikiria mtu akifunga kinyunyizi cha nerve gas au sumu yeyote akawadondoshea watu matone au punje chache kama kwenye kampeni au uwanja wa taifa, atauwa watu wangapi?
Fikiria mtu akifunga bomu (plastic bomb kama la C4) kwenye drone akaenda kugongesha jengo au kulitupa kwenye umati au sehemu nyeti atauwa watu wangapi?
Fikiria wakati huu wa kampeni za uchaguzi mtu akigongesha drone kwenye helicopter ya mgombea yeyote hakutatokea machafuko nchi hii kwamba ameuwawa na taasisi au watu flani?
Tuache matusi na kuona wataalam wetu ni wajinga au washenzi, washamba, siyo wasomi huku wewe ukijiona ndiyo unajua kuliko hao wataalam wengi waliosomea mambo ya usalama na anga.
Wewe usirudi TZ hakuna tunachopungukiwa kwa kutokuwepo kwako TZ. Unatupunguzia watu waliokosa hekima tu.
Usipotukanwa kuwa uko ccm una bahati.Afrika Kusini, Albania, Rwanda, Uganda, Uswissi na Ujerumani ' Drones ' zinasajiliwa na kupewa leseni na leseni zinayo madaraja.
Mfano, Drone A-123 inaruhusa ya kufanya kazi maeneo ya asili (Nature).
Drone A-125 inaruhusa ya kutumika katika matukio ya habari.
Drone C-890 inaruhusa ya kutumika katika maeneo ya miji na makazi ya watu.
Drone GJ-260 inaruhusa katika uandaaji filamu na picha za sanaa au matangazo.
Aliyemuua Kennedy mkataba huu mlimuwajibishaje? Aliye muua My Li mkataba huu uliwajibishaje? Je Edward Mondelano, Samola Mashel, Lumumba, hizi fake ID ni nzuri wengine mngekuwa mnajifedhehesha uraiani kwa kuonyesha upeo mdogo sana wa mawazo.Huo tu ndo mnaujua? Mbona mkataba wa kimataifa ule unaokataza watu kutekwa na kuuawa kwa kusopekwa kwenye magunia hamuuzungumzii??!
Huu upuuzi umefika mwisho!! Tumewachoka aisee