digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Saudia iko mbali na dini!? Kwani lile jiwe jeusi ambalo Huwa mnaenda kulitupia mawe liko wapi kweli!? Sio saudia!? Sasa iweje saudia awe na uelewa mdogo wa dini kuliko wewe mwananchi wa Mpigamiti -Liwale!?Ukristo hata kanisani mnaozeshana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake afu mnajisifu mna dini.
Huyo si analindwa na USA kwanza yuko mbali na dini ya Kislam. Uislam na pombe wapi na wapi.
Sheikh Alhad ni lini aliwahi kuwa mkanisa? yeye kuwa shoga anatii mambo meusi ya mtume SAWHizo ni ngojera za kanisani
Kuhusu huyo sheikh unayesema alikuwa shoga huyo lazima ukifata story yake atakuwa alikuwa mkanisa kwanza
Hahaha Mtume Muhammad alisha jibu hilo swali sio kila mwenye kabila lake ataingia peponi. Uislam si kuwa Msaudia Uislam ni kuepukana na mabaya na kufanya mazuri huyo anaye halalisha pombe lazima awe mfuasi wa Paulo tu.Saudia iko mbali na dini!? Kwani lile jiwe jeusi ambalo Huwa mnaenda kulitupia mawe liko wapi kweli!? Sio saudia!? Sasa iweje saudia awe na uelewa mdogo wa dini kuliko wewe mwananchi wa Mpigamiti -Liwale!?
We ulimuona sheikh Alhadi anafanya ushoga au basi ni uwongo wenu wakikanisa. Isije kuwa huyo sheikh kagoma kukukanisa ndio ume mzulia shoga.Sheikh Alhad ni lini aliwahi kuwa mkanisa? yeye kuwa shoga anatii mambo meusi ya mtume SAW
Hii picha inamaanisha nini?Hata huku Tz, mambo yanazidi kufunguka mkuu..🙂 🙂
View attachment 3344969
Huko kwa Christian wameruhusu kufilana...shituka uirudie dini ya mababu zakoWamebana weee! Wanaachia sasa! Ndio tuseme Mungu amelegeza neno lake au?
Naanza kuwaelewa wanaoamini dini ni apendavyo kutafsiri mtu au kikundi cha watu.
Imani katika Kristo Yesu ndio mpango mzima maana yeye ndiye alfa na omega tena ni yeye yule; jana, leo na hata milele.
Ivi hii habari wa watu weusi tiii wadengereko kutoka tandika kujioana na nyie ni miongon wa raia wa Saudi Arabia huwa mnaitoa wapi basUkristo hata kanisani mnaozeshana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake afu mnajisifu mna dini.
Huyo si analindwa na USA kwanza yuko mbali na dini ya Kislam. Uislam na pombe wapi na wapi.
Mbona misheikh mishoga mnayo mingi sana, si basi tu inasitiriwa, Sheikh wako Alhad keshaharibiwa long time kitambo na inajulikana sana ila najua lazma umuhifadhi. Sheikh wako Alhadi analiwaga na mhindi tena kwa hoteli yaani kaliwa mpaka kaliwa tenaWe ulimuona sheikh Alhadi anafanya ushoga au basi ni uwongo wenu wakikanisa. Isije kuwa huyo sheikh kagoma kukukanisa ndio ume mzulia shoga.
We kenge kwa tarifa yako pombe ya peponi ni nzuri haina ulevi wala madhara wala chenye kukera. Kuhusu pombe ya duniani inayo madhara, ulevi na mambo yenye kukera. Hivyo ina maana kwamba pombe ya peponi haiondoshi akili, fahamu wala ndani yake hamna kitu kinachodhuru mwili. Kuhusu pombe ya duniani inadhuru akili na mwili vyote viwili. Madhara yote yanayopatikana katika pombe ya duniani hayapatikani katika pombe ya peponi.
Pombe ya kile Ahera kwa mujibu wa Quran na hii ya duniani tofauti ni nini??Ukristo hata kanisani mnaozeshana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake afu mnajisifu mna dini.
Huyo si analindwa na USA kwanza yuko mbali na dini ya Kislam. Uislam na pombe wapi na wapi.
Safi sanaHata huku Tz, mambo yanazidi kufunguka mkuu..🙂 🙂
Kumsingizia mtu uongo nadhani sio jambo sahihi mkuu; au labda unambie, kwa mujibu wa dini yako, kumsingizia mtu asie wa dini yako ni jambo sahihi (sitetei pombe cause hata mimi huaga sinywo kwa IMANI yangu ). Kwamba Wakristo tunafungishana ndoa za mashoga makanisani? Mwogope Mungu wako. Anyway, labda nisaidie hili, inawezekana vipi allah kazuia waumini wesinywe pombe duniani lakini kule kwenye pepo yake ya watagida pombe na kufanya ufuska wa kutosha? Kwa siku unalala na mabikira 70; yaani mungu hataki ulevi na umalaya duniani, kule kwake yeye ndio anakulewesha na kukupa wanawake, how is that possible? Msaada wako tafadhariUkristo hata kanisani mnaozeshana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake afu mnajisifu mna dini.
Huyo si analindwa na USA kwanza yuko mbali na dini ya Kislam. Uislam na pombe wapi na wapi.
Haimaanishi chochote, kwani umeona nini???Hii picha inamaanisha nini?