Man United kupigania kutoshuka daraja

Man United kupigania kutoshuka daraja

Ni vitu vya kawaida katika mpira ata Simba Ilinusurika miaka mitatu mfulululizo kushuka Daraja 1987,1988 1989, kama si Yanga na Serikali kuingilia kati Simba ingekua ni sehemu ya kumbukumbu tu ya mpira wetu kama ilivyo Tumbaku, Cosmo, Red star, n.k

Bahati mbaya awa wameshuka na kupotea kwakua hawakua na Baba wa kuwashika mkono.

Kunusurika mara tatu mfulululizo si jambo la kawaida juhudi kubwa Sana zilifanyika kufikia Yanga kukubali kumwachia coast Ubingwa ni kama kutoa Figo kwaajili ya umpendae.

Bahati mbaya Kuna wapuuzi wameingia juzi kwenye mpira Wana dharau na matusi bila kujua historia ya hivi vilabu.
Fatuma Said Ally ( waziri wa utamaduni na michezo)
Said El maamly(Mwenyekiti wa FAT) walikua na wakati mgumu pia ili Simba ibaki Ligi kuu.
 
Said Elmaamly mwen
Ni kweli kabisa, Yanga alikubali kufungwa 2-1 na Kolo FC. Sahau Kambi alimrushia Makelele mpira miguuni, dah.
 
Mambo ya Arsenal hapa ya nini Mkuu? Jadili alichokileta mwenzio.
Mko hatarini kushuka daraja nguvu ya kuwacheka wengine unaipata wapi?
United ni icon ya uingeleza na liverpool, unadhani inawezekana? 😀
Wala hatuko hatarini subir mkuu.
 
Wameshaanza kumgomea na huyu tena? Si walisema tatizo ni Rashford?
Hawawezi kugoma, now boss kasema tunaenda kwa system hii hii, asie fit kwenye mfumo wa ppbf anaondoka, na ukiangalia united haina hao wachezaji wa possession based footaball , wengi ni direct football,
Hata kipind kile fergi alianza kutumia academy players 😀😀
 
United ni icon ya uingeleza na liverpool, unadhani inawezekana? 😀
Wala hatuko hatarini subir mkuu.
Hatusemi ndio mnashuka, hapana. Man United kutoka kuwa title contender hadi kupambania kutoka kwenye nafasi mbovu za kushuka daraja inashtua na kuhuzunisha.
 
Hawawezi kugoma, now boss kasema tunaenda kwa system hii hii, asie fit kwenye mfumo wa ppbf anaondoka, na ukiangalia united haina hao wachezaji wa possession based footaball , wengi ni direct football,
Hata kipind kile fergi alianza kutumia academy players 😀😀
Tunarudi palepale, mngemuacha RVN amalizie huu msimu kisha ndipo aje huyo na hiyo mifumo yake aanze nayo.

Kwa sasa kwake itakuwa vigumu, ila sio mbaya atakizoea kikosi hadi msimu ujao atakuwa vizuri.
Ila ndio mvumilie vipigo, msiwe na matumaini yoyote zaidi ya kupambania kutokushuka daraja.
 
Hatusemi ndio mnashuka, hapana. Man United kutoka kuwa title contender hadi kupambania kutoka kwenye nafasi mbovu za kushuka daraja inashtua na kuhuzunisha.
Uongozi + players wasio fit ndio wametufikisha.
Laiti ineos wangemwondoa ten hag kipind kile baada ya kuchukua fa, then amorim akawepo , tusingekuwa hapa, technical director alituzingua sana.
 
Mimi nawaombea sana msishuke, sitoweza kumtuliza Mdakuzi atakuwa kwenye wakati mgumu mno.

Pambaneni tu wanetu.
 
Back
Top Bottom