Man United kupigania kutoshuka daraja

Man United kupigania kutoshuka daraja

Mimi nawaombea sana msishuke, sitoweza kumtuliza Mdakuzi atakuwa kwenye wakati mgumu mno.

Pambaneni tu wanetu.
Sawa mkuu, tutakutana.
Ila sikatai United tunatia aibu aibu aibu, michezaji imeridhika na mishahara mikubwa, mibishoo inajiona wakubwa wa timu.
Tunafukuza wote hao
 
Well, unavyoona ni wepi wanaofaa kubaki hapo United?
 
Wameshaanza kumgomea na huyu tena? Si walisema tatizo ni Rashford?
I said this one and a half years ago, and I will continue to say it: The problem is not the coaches.

"It's like an aquarium. If you have the fish inside and he's sick and you take him out and you fix the problem and you put him again in an aquarium they will be sick again.

"The problem of Manchester United is the same. The problem is not always the coach. It's much more than that.

"If I will be the owner of the club, I will make things clear and adjust what I think is bad there."
"Cr7."

Nilisema hivi mwaka mmoja na nusu uliopita, na nitaendelea kusema:

Tatizo sio makocha. "Ni kama kwenye kweramu. Ukiwa na samaki ndani na anaumwa ukimtoa nje na ukarekebisha tatizo ukamuweka tena kwenye kweramu ataumwa tena. "Tatizo la Manchester United ni lile lile. Tatizo sio mara zote kocha. Ni zaidi ya hapo. "Ikiwa nitakuwa mmiliki wa klabu, nitaweka mambo wazi na kurekebisha kile ninachofikiri ni kibaya huko." Cr7"
 
Manutd tunachapika kiasi kwamba tukifungwa hata haituumi tena
 
I said this one and a half years ago, and I will continue to say it: The problem is not the coaches.

"It's like an aquarium. If you have the fish inside and he's sick and you take him out and you fix the problem and you put him again in an aquarium they will be sick again.

"The problem of Manchester United is the same. The problem is not always the coach. It's much more than that.

"If I will be the owner of the club, I will make things clear and adjust what I think is bad there."
Cr7 huyo, amekuwa akisema hilo mara nyingi.

Wakati akiondoka United alisema hivyo watu wakadhani ni chuki tu kwa vile ameshindwana nao, ila matokeo yake wote tunayaona.
 
Well, unavyoona ni wepi wanaofaa kubaki hapo United?
Mkuu wanaifit system ya amorim
1. Hojlund
2. Amad
3. Ugarte
4.maino
5.yoro
6.martinez
7.mazrou
8 delight kidoogo
9. Onana kidoogo

The rest hawafiti kbsaa ni wachezaji wa direct football, mfumo wa amorim unahitaji watu wa kukimbia snaa kwenda mbele na once ukipoteza moira rudi haraka , nikupe mfano , watu wanasema bruno ni no 10 mzuri , ila kiukweli sio mzuri kwasbsabu yeye hajui kukaa na mpira , aina ya no 10 wanaohitajika ni kam yule wirtz wa leverkuzen, watu wanaojua kukaa na mali, si unaona hata odergaad alivyo mzuri sana.
 
Inafahanika, mainoo, Amad na mmoja tu. Wengine ishasemwa hawatakiwi.

Kwa sasa urgate naye anabaki
Mkuu wanaifit system ya amorim
1. Hojlund
2. Amad
3. Ugarte
4.maino
5.yoro
6.martinez
7.mazrou
8 delight kidoogo
9. Onana kidoogo

The rest hawafiti kbsaa ni wachezaji wa direct football, mfumo wa amorim unahitaji watu wa kukimbia snaa kwenda mbele na once ukipoteza moira rudi haraka , nikupe mfano , watu wanasema bruno ni no 10 mzuri , ila kiukweli sio mzuri kwasbsabu yeye hajui kukaa na mpira , aina ya no 10 wanaohitajika ni kam yule wirtz wa leverkuzen, watu wanaojua kukaa na mali, si unaona hata odergaad alivyo mzuri sana.
Ila United imeisha aisee, kama wachezaji wakutegemewa ndio hao akina Mainoo na Amad ambao hata sio World Class ni hatari!

Ila Amad amenikosha mechi kama 3 zilizopita, dogo anakuja vizuri.
 
Hao ndio inabidi tuwakuze mana bado watoto, yule fala ten hag, alituuzia vitoto vzuri na kutuletea ex players wake, sasa na yeye kashindwa kuwatumia, kwanini tusifeli?
Amorim ilikuwa aende liver au city, utasemaje kocha mbaya wakati now style of playing inaonekana, tuna useles players weng, na ukija ffp ndio kabsaa tunavurugika.
 
Ten Hag mlimvumilia sana, mlipa imani kubwa ambayo aliishia kuwaangusha.

Amorim ni kocha mzuri, tumpe muda ila aache maneno maneno na yeye anaongea sana kwenye press.
 
Mkuu wanaifit system ya amorim
1. Hojlund
2. Amad
3. Ugarte
4.maino
5.yoro
6.martinez
7.mazrou
8 delight kidoogo
9. Onana kidoogo

The rest hawafiti kbsaa ni wachezaji wa direct football, mfumo wa amorim unahitaji watu wa kukimbia snaa kwenda mbele na once ukipoteza moira rudi haraka , nikupe mfano , watu wanasema bruno ni no 10 mzuri , ila kiukweli sio mzuri kwasbsabu yeye hajui kukaa na mpira , aina ya no 10 wanaohitajika ni kam yule wirtz wa leverkuzen, watu wanaojua kukaa na mali, si unaona hata odergaad alivyo mzuri sana.
Bruno namba 10 ?
 
Ten Hag mlimvumilia sana, mlipa imani kubwa ambayo aliishia kuwaangusha.

Amorim ni kocha mzuri, tumpe muda ila aache maneno maneno na yeye anaongea sana kwenye press.
Waandishi wanamchokoza tu ndio maana anawajibu namna hio.
 
Aisee sisi united fans tushasema Hadi basi, tatizo si kocha, amorim ni bonge la kocha, shida ni wachezaji. They aren't enough kabisa. Angalia magoli tunayofungwa ni uzembe wa wachezaji wenyewe, hivi kama mchezaji ufundishwe kupiga pasi, kufunga, je intensity pia ufundishwe wakati ni jambo la kuwa na desire tu moyoni ndo huzalisha intensity. Angalia Newcastle ni timu ambayo ina athletes wa kutosha na ni mid table team!, niambie UTD wana wa kufanana na wachezaji kama Gordon, isak, hapo kati Kuna watu kama Tonali, Bruno gumaires sisi tuna casemiro, eriksen haya beki wana Fabian schar, burn sisi tuna maguire, haya angalia benchi Lao wana Harvey Barnes, Miguel almiron halafu kumbuka wana majeruhi nao. Are we serious? Mid table timu ina vyuma kama hivyo haya hebu niambie sisi tunaweza kushindana kweli, mapesa yote Yale lakini hayatusaidii chochote zaidi ya utapeli tu hahaha.

Binafsi naamini Omar berrada anaweza kutufikisha mahali kama akifanikiwa kupata watu sahihi.
 
Ukizitaja hizo nyakati ndiyo unaleta maumivu halisi ya wakati huu mbaya. Hadi haijulikani ni nini kifanyike kuokoa timu pale ilipo.

Ova
Kama ni makocha mshabadili sana, wachezaji wa maana mmesajili ila hamponi. Nendeni championship mkarefresh akili.
 
Tangu Howard Webb astaafu ureferee Man U kwisha kazi. Yule refa alijua kuwabeba mno, ukichanganya na kutokuwepo na VAR timu pinzani zilinyanyasika vilivyo. Tuishi kwa haki karma ipo.
Kwa iyo Webb alikua anachezesha game za united tu zote 36 za msimu
 
Back
Top Bottom