Man United kupigania kutoshuka daraja

Hata Asernal iliwahi kupitia hali kama hii baada ya Wenger kuondoka, nadhani upepo tu. Hata Makolokwinyo yaliwahi kupitia situatio kama hii ikaokoka kwenye mechi za kufungia ligi tena ni mechi fixing.
 
Hivi kwann mtu kama rashford ameamua kutokaza kama anavyokaza amad, garnacho??
 
Mbona ugarte anaonekana kukaza? Mazroul anakaza? Hivi kwa nini Martinez ameacha kukaza? Enzi za fagason hata ukifungua YouTube angalia pambano la timu ya Fergus wanakaza sana?? Hawa wananini?? Fernandez anakaza japo anapoteza poteza ila anakaza??

Ninaamininkuna wakati hernandez anapiga rough makusudi akapunzike. I m sure
 
Hivi kwann mtu kama rashford ameamua kutokaza kama anavyokaza amad, garnacho??
Tumelea upumbavu sisi wenyewe, kipindi kile Kila kitu aliachiwa Ferguson Sasa alivyoondoka hakukuwa na kocha mwenye kaliba kama yake na vile vile mpira ulikuwa unatoka kwenye transition ya kwamba kocha Sasa kazi yake ni kufundisha tu mpira na kutoa ushauri wa hapa na pale, tulijisahau kwenda na timing ya kuweka watu wa mpira badala yake tukaweka watu wa biashara tu. Tatizo ni moja tu ni management basi wengine ni mbuzi wa kafara tu. Timu kama hii si wa kutuletea average players na wastaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…