kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Manabii wamekuwa wengi mpaka unajiuliza Mungu gani uyu ambaye anaonyesha manabii wake habari tofauti tofauti.
Mara uyu anakuja na ili. Uyu naye anakuja na ili tofauti na la yule wakwanza God , GOD, GOD, GOD.
Na wakibahatisha jambo fulani tu ndo kwisha habari zenu
Kuna mmoja uko youtube anajiita nabii aliyetabiri kifo cha magufuli ili kuteka akili za watu fulani 😂🤪😝
Ufupi ni kuwa mambo ya Mungu ukiyavaa pasipo kutumia akili kwisha habari zako huna lako tena apo.
Watu wengi wanatumia hisia kuliko akili kwenye mambo ya maana hasa ya Mungu
One day nishawahi kusoma kitabu fulani kinaitwa The jews peoples katika kitabu icho kuna vers fulani inasema
The Jews' argument about God is the source of their success
Kwa hiyo wayahudi walikuwa watu ambao walikuwa hawakubali kitu kwa urahisi mpaka wahoji waulize kwa undani zaidi wakiona hawakuelewi wanafanya kile kile ulichokikataza ili waone what will happen wakiona ndo wanaelewa
Mkristo gani wa Leo ambaye anaweza kufanya hivyo
Msiwe watu wa kuamini vitu kwa urahisi