Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Naona Manara anataka kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, kama alipigwa tukio na rushayna mpaka akazimia basi hapa kwa Zai ategemee maumivu mara mbili yake.
Zai anajulikana ni mwanamke mapepe sana na mjanja mjanja mno haswa kwa mtu mshamba sa mapenzi kama Manara anachokitafuta atakipata na asije kulia lia kama kipindi kile kutafuta huruma za wananchi .
Naona tangu atrendi alivuka mipaka ya uchezaji na Zai (alikuwa akimbambia huku anamshika shika makalio) mara amsugue sugue miguu, akili ya Manara bado haijakaa sawa kabisa.
Mbaya zaidi jamaa kutongoza hajui 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anachofanya anampost post Zai kila mara,mara amtume Lokole akamuwekee mambo sawa kwa Zai yani tafrani tupu.
Kwa umri wa Manara na mambo anayoyafanya ni vitu viwili tofauti tena ukizingatia ni amekulia madrasa kabisa yani lakini ana mambo ya hovyo sana mpaka anatia aibu.
Ptuuuuu