Manara ni limbukeni wa mapenzi kitakachomkuta kwa Zaiylissa asiseme hatukumwambia

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Naona Manara anataka kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, kama alipigwa tukio na rushayna mpaka akazimia basi hapa kwa Zai ategemee maumivu mara mbili yake.

Zai anajulikana ni mwanamke mapepe sana na mjanja mjanja mno haswa kwa mtu mshamba sa mapenzi kama Manara anachokitafuta atakipata na asije kulia lia kama kipindi kile kutafuta huruma za wananchi .

Naona tangu atrendi alivuka mipaka ya uchezaji na Zai (alikuwa akimbambia huku anamshika shika makalio) mara amsugue sugue miguu, akili ya Manara bado haijakaa sawa kabisa.

Mbaya zaidi jamaa kutongoza hajui 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anachofanya anampost post Zai kila mara,mara amtume Lokole akamuwekee mambo sawa kwa Zai yani tafrani tupu.

Kwa umri wa Manara na mambo anayoyafanya ni vitu viwili tofauti tena ukizingatia ni amekulia madrasa kabisa yani lakini ana mambo ya hovyo sana mpaka anatia aibu.

Ptuuuuu
 
Na sio amekulia Madrassa..
Aliwahi kuwa Maalimu madrassa kariakoo hapo na Alikiba na Nasibu waliwahi kushuhudia kuwa waliwahi kufundishwa baadhi ya Sura kwenye Quran na Maalimu Haji..😅😅...

Zai Nchedangeeee
 
Naona Manara anataka kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, kama alipigwa tukio na rushayna mpaka akazimia basi hapa kwa Zai ategemee maumivu mara mbili yake.

Zai anajulikana ni mwanamke mapepe sana na mjanja mjanja mno haswa kwa mtu mshamba sa mapenzi kama Manara anachokitafuta atakipata na asije kulia lia kama kipindi kile kutafuta huruma za wananchi .

Naona tangu atrendi alivuka mipaka ya uchezaji na Zai (alikuwa akimbambia huku anamshika shika makalio) mara amsugue sugue miguu, akili ya Manara bado haijakaa sawa kabisa.

Mbaya zaidi jamaa kutongoza hajui 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anachofanya anampost post Zai kila mara,mara amtume Lokole akamuwekee mambo sawa kwa Zai yani tafrani tupu.

Kwa umri wa Manara na mambo anayoyafanya ni vitu viwili tofauti tena ukizingatia ni amekulia madrasa kabisa yani lakini ana mambo ya hovyo sana mpaka anatia aibu.

Ptuuuuu
anashindwa kujitambua kuwa ashakuwa babu ila bado anaongeza tu totoz kalikali,
eti anatimiza dini ilivyoruhusu.
hayo mapenzi anayogawa nje angekomaa na mwanamke mmoja angefika mbali
na hata hizi aibu za kuchapiwa zingemuepuka au kupungua
ila noway acha alete wana wajipigie
ukijifanya unafuata dini kwa kila kitu ilichoandika unakuwa kama fala tu
 
Halafu unaweza kukuta mbwembwe zote aonekane kidume kumbe ndani hamna kitu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sitasahau yale maneno alivyoambiwa na Mzee Yusuph na Hassan Mwakinyo.
 
Back
Top Bottom