Manara: Yanga wameshamalizana na Chama, kumtangaza muda wowote kuanzia sasa

Screenshot_20211122-195015.png
 
Kuna wakati mashabiki wa Yanga walikuwa wakisema kuwa Manara ni mgonjwa wa Akili halafu Simba walikuwa wakikataa, sasa kwa anachokifanya naamini kabisa.

Mkuu Sibonike tunaomba radhi kwa hilo maana tuliwakataliwa kuwa si mgonjwa wa akili.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ila yule sasa HV kichaa kinazd sana!
 
Kuna wakati mashabiki wa Yanga walikuwa wakisema kuwa Manara ni mgonjwa wa Akili halafu Simba walikuwa wakikataa, sasa kwa anachokifanya naamini kabisa.

Mkuu Sibonike tunaomba radhi kwa hilo maana tuliwakataliwa kuwa si mgonjwa wa akili.
Mtu wenu huyo. Tukishamtumia, anarudi kwenu maisha yaendelee!😂😂😂
 
Back
Top Bottom