Hatafanikiwa kwa sababu 90% ya kikosi chake hakina Tena future.Ruben amorim amekuja kumnyoosha kipara wa mancity.
Tatizo halikuwa kochaJamaa wapo organized vibaya mno wanapress kwa pattern inaonekana kabisa Wana speed Yani dah safi sana. Nafurahi kuwaangalia kwa kweli hapa ndo naona kipara alikua tapeli ila Hawa Manchester kazi kocha anayo Tena kubwa sana. Wavivu ni wengi mno
Alilisema Ben McCarthy hiliLeo kocha ndo atajua kuwa haya majamaa kwenye mazoezi yanaweza kukuimpress ukaona yanakuelewa sana ila yakija uwanjani ndo wapuuzi watupu yanaruka tu.
Ana semaje huyu 😆
Hilo nalijua inahitaji mda Kwa amorimi maana tuna wachezaji wengi walio wavivu sana na Kwa hii beki tatu yake anahitaji kubaki na prayer watakao fiti kwenye mfumo wake tu.Hatafanikiwa kwa sababu 90% ya kikosi chake hakina Tena future.
Ruben Amorim anatakiwa aanzishe project mpya kwa kuwatumia.
Onana, Maguire, Yoro na Lisandro na Mazroui kwenye defence yake.
Midfield ambakize Ugarte na Mainoo peke yake wengine aingi pale academy apate wachezaji wawili watatu.
Kwenye attack huku fumua wote Leta watu wanaoweza kutumia akili badala ya nguvu.
Jamaa atafaa sana paleKocha la ball huyu hapa anaenda zake Leicester City kukabidhiwa mikoba ya Steve Cooper.
"Jiwe walilolikataa waashi Linaenda kuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu."
View attachment 3164057
Sasa hiyo good squad ya waliokaa bench au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inashangaza sana, afu kwa midomo hawatoki kwenye page ya arsenalSasa hiyo good squad ya waliokaa bench au?
Prophet amorim😃🤣🤣🤣🤣🤣
Ipo live Supersport channel 225Game time??
Wacha bana 🤣🤣🤣Mapema tu tumepata goli