Both on and off the pitch, the English giants have become broken and small time. Ruben Amorim has inherited a team of incompetent millionaires who don’t seem to care
Translate
Ndani na nje ya uwanja, wababe hao wa Kiingereza wamevunjika na wakati mdogo. Ruben Amorim amerithi timu ya mamilionea wasio na uwezo ambao hawaonekani kujali
 
The team is rotten from back to front. Amorim has made the worst start of any United manager in 103 years, and insists the club is now in a relegation battle.

The unthinkable has happened. The words β€˜United’ and β€˜relegation’ have appeared in the same sentence. The stadium is starting to look and feel like a relic.

Tafsiri
Timu imeoza kutoka nyuma kwenda mbele. Amorim ameanza vibaya zaidi kuliko meneja yeyote wa United katika kipindi cha miaka 103, na anasisitiza kuwa klabu hiyo sasa iko kwenye vita vya kushuka daraja. Jambo lisilofikirika limetokea. Maneno β€˜United’ na β€˜kushuka daraja’ yameonekana katika sentensi moja. Uwanja unaanza kuonekana na kuhisi kama masalio ya mazombi
 
GGMU
Hii timu sio bure, tumelogwa.
Kuna kipindi ulikuwa unaona tatizo liko kwa beki ila kiungo na washambuliaji wako poa. Ukifix eneo la beki, kiungo kinaonekana dhaifu, ukimalizia kiungo kikae sawa forward inakuwa butu. Ukimaliza na hilo tatizo unakuta beki imechakaa balaa!
Sasa wameona haitoshi wameamua kuloga hadi viongozi na wamiliki wa timu kabisa. Bado mashabiki tu ili timu ipotee mazima.
 
Ni kama vile wachezaji wamemgomea Kocha mapema sana.

Nyakati kama hizi ndipo unapoona umuhimu wa Juma Mgunda.
Kuendekeza wachezaji wanao deka na hawana kiwango hiyo haifai. Utd kwa sasa kwenye swala la nidhamu imeshuka sana, ni kama makocha wamekua wakiwaogopa wachezaji badala ya wachezaji kumuogopa kocha na huu ujinga aliulea sana Ole gonna. Ole alitengeneza timu nzuri sana, kilichomgharimu yeye ni kuwaintertain wachezaji wazembe ambao waliigharimu timu hasa kwenye mechi muhimu kama finali na hao sio wengine ni Rashford, Martial , Pogba na Maguire. Kama Ole angewaondoa hawa watu mapema nadhani angekuwa ndio kocha bora baada ya Ferg. Badala yake akaondoka yeye na kila kocha aliyekuja akawa anakutana na wakati mgumu kwa hawa wachezaji, wengine waliwaondoa wachache wakawabakisha kina Rashford.

Ni juzi tu hapa Amorim alisema atamtumia Rashford kam striker waje ila sasa keshamshindwa. Mimi napendelea hii timu wauzwe wote pale hakuna cha captain wala nani, waje wachezaji wenye kuipenda club.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…