Tunahitaji watu kweli, tujikongoje hivi hivi Hadi summer tuone tutaongeza mashine za kazi ngapi, wasiwasi wangu ni je tutaleta watu sahihi?, mambo ya kupigwa tushachoka nayo, uzuri naona kocha yupo direct.

Huyu kocha anajitahid sana tatizo ni wachezaji tu, Zirkzee Jana ndio game changer, sub ya Anthony pia ilikuwa fantastic pia. Mipira mingi aliyokuwa anapewa Zirkzee ana control vizuri(Kwa suala la control huyu jamaa nampa mkono), tofauti na rasmus control chumba na sebule.

Hapa tutafute mido moja ya kazi, namba kumi ya kazi, winga moja ya shavu la kushoto ya kazi, beki ya kati moja ya kazi, namba Tisa ya kazi, hapa tunaweza tukaanza msimu Kwa matumaini.
 
Wenye nchi wametuzimia umeme tokea asubuhi, mwenye link atusaidie kuweka
 
Wenye nchi wametuzimia umeme tokea asubuhi, mwenye link atusaidie kuweka
Pakua hiyo App. Utaangalia mechi kariba za nchi zote
 

Attachments

  • Screenshot_20250119_162208_Google Play Store (1).jpg
    294.5 KB · Views: 4
1. Martinez 'the butcher' kaanzia bench.
2. Hujlund kaanzia bench
3. Garnacho kaanzia benchi

Ukiacha hao kikosi ni kile kile.
 
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys limeshuka

Twende nalo

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction

Manchester united 3 vs Brighton 1

Tutapiga kama ngoma.
 
Hiki ndicho nilikua nakitafuta.

Sasa ngoja nikafanye jogging sina haja ya kuangalia mechi nitarudi kuangalia matokeo
 
Hata sijafika mbali mshashonwa.

Haya washapata moja lao bado nyinyi kupata tatu
 
Tayari Brighton washapata goal lao, tafuten yenu matatu Sasa

[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…