Kumuuza Garnacho ni kosa, kumuuza kwenda Chelsea ni kosa la pili. Glazers, SJR & INEOS wangese sana. Ndiyo tunahitaji ku-balance vitabu ili tusajili ila tunawauzia rivals mchezaji ambaye hana shida yoyote na club au kocha na bado ana potential!
 
Wewe hauko Brighton kweli wewe?
Ungewaacha tu hawa manyumbu wafanye mambo yao mema kwa manufaa yao.
 
Kumuuza Garnacho ni kosa, kumuuza kwenda Chelsea ni kosa la pili. Glazers, SJR & INEOS wangese sana. Ndiyo tunahitaji ku-balance vitabu ili tusajili ila tunawauzia rivals mchezaji ambaye hana shida yoyote na club au kocha na bado ana potential!
garnacho n mchezaj wa kawaida
 
garnacho n mchezaj wa kawaida
Kumbuka bado ana miaka 20 tu na wachezaji wengi wanakuwa peak wakifika mid 20s. Salah (Chelsea), KDB (Chelsea), Fernandes (Sampdoria), Gyökeres (Brighton), hawa wote walionekana wachezaji wa kawaida kwenye hizo timu lakini wameweza kufanya makubwa kwenye career zao mpaka sasa.
 
😁 ila kwa garna hapana
 
Kumuuza Garnacho ni kosa, kumuuza kwenda Chelsea ni kosa la pili. Glazers, SJR & INEOS wangese sana. Ndiyo tunahitaji ku-balance vitabu ili tusajili ila tunawauzia rivals mchezaji ambaye hana shida yoyote na club au kocha na bado ana potential!
Garnacho ni mchezaji mzuri wa kawaida
 
Top four
 
Attachments

  • Screenshot_20250124-134136.jpg
    160.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20250124-134136.jpg
    160.1 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…