Thank you substitute mickael carick. Man united 2 : 0 ports full time
 
Mie nina mgomo baridi timu ikiboronga season hii serenew membership!! Maana duh ni noma tupu.
 
SAF anatakiwa kutueleza kwanini timu inacheza chini ya kiwango.

Ligi ndefu, mwaka uliopita walikuwa kwenye final ya FA Cup, UEFA, December wakawa na trip ndefu ya Japan katika Club bingwa ya dunia, mwaka huu walikuwamo pia mpaka semi final ya FA Cup bado wamo kwenye hatua za mwisho za UEFA (Semi finals against us) Baadhi walichezea timu zao za Taifa mwaka jana kwenye EURO, kwenye Qualifications za World Cup kwa hiyo wanastahili kabisa kuonekana wamechoka bahati yenu wale ambao wana nafasi ya kuwapiku hawataki kufanya kweli na kuchukua kile wanachostahili mapema. Si ajabu wakija shtuka itakuwa dakika zimeshayoyoma.
 
Hongereni Man U kwa ushindi wa jana; mmejiweka ktk mazingira mazuri zaidi ya kutwaa EPL
 
Kwa kweli mbio za ubingwa sasa basi,timu yetu jana (Chelsea) haikucheza vizuri kabisa,kwa mechi zilizobaki sasa basi.sijui ni miujiza gani itatokea ili Man utd apoteze ubingwa msimu huu,alitengeneza mazingira mazuri ya ubingwa na sasa yanamsaidia.Ndugu zetu wa Liverpool tunawatakia kila la kheri,jaribu kufukuzana na huyu jamaa sisi,tumepata pancha jana,hatuwezi kumkuta tena.
 

Uko sahihi mkuu, asiyekubali kushindwa si mshindani!
Kila la kheri katika UEFA CL, huku EPL tuachieni wenyewe.
 
Kisale usikate tamaa subiri msimu ujao
 
Kisale usikate tamaa subiri msimu ujao

Unaweza ukasubiria msimu ujao kama Arsenal na Liverpool,miaka mingapi sasa jamaa wanasubiria msimu ujao bila mafanikio,ila Liver msimu huu uzembe wao kukosa ubingwa,inaniuma sana pointi sita walizochukua kwetu halafu hazina msaada wowote kwao kwenye ubingwa.Kama kwenye mpira kuna miujiza basi na tuone Man akikosa ubingwa msimu huu.
 
........Kama kwenye mpira kuna miujiza basi na tuone Man akikosa ubingwa msimu huu......

Teh teh teh!
mpira huwa unadunda kaka, lolote laweza kutokea. Tatizo mechi za mwisho mwisho hizi huwa timu nyingi zinakuwa ngumu kufungika!
Ila all in all we Red Devils are unstoppable!
 
Teh teh teh!
mpira huwa unadunda kaka, lolote laweza kutokea. Tatizo mechi za mwisho mwisho hizi huwa timu nyingi zinakuwa ngumu kufungika!
Ila all in all we Red Devils are unstoppable!
Pamoja na kuwa soccer ina maajabu yake pia ni mchezo wa makosa ndiyo uweze kumshinda mpinzani wako.
Hadi hivi sasa itakuwa ni ngumu sana kwa Man U kukosa kikombe cha EPL;kwa haya mengine lolote linawezekana.
 

“I would not like to speculate on any weakness of Manchester United,”
-ARSENE WENGER


...ha ha haaaaaa..... kaeni mkao wa kula!
 
Oh hooooo naona nyumba ya mabua ya Manure inaungua..

Manure 0 Tott'ham 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…