Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAF anatakiwa kutueleza kwanini timu inacheza chini ya kiwango.
Kwa kweli mbio za ubingwa sasa basi,timu yetu jana (Chelsea) haikucheza vizuri kabisa,kwa mechi zilizobaki sasa basi.sijui ni miujiza gani itatokea ili Man utd apoteze ubingwa msimu huu,alitengeneza mazingira mazuri ya ubingwa na sasa yanamsaidia.Ndugu zetu wa Liverpool tunawatakia kila la kheri,jaribu kufukuzana na huyu jamaa sisi,tumepata pancha jana,hatuwezi kumkuta tena.
Kisale usikate tamaa subiri msimu ujao
........Kama kwenye mpira kuna miujiza basi na tuone Man akikosa ubingwa msimu huu......
Pamoja na kuwa soccer ina maajabu yake pia ni mchezo wa makosa ndiyo uweze kumshinda mpinzani wako.Teh teh teh!
mpira huwa unadunda kaka, lolote laweza kutokea. Tatizo mechi za mwisho mwisho hizi huwa timu nyingi zinakuwa ngumu kufungika!
Ila all in all we Red Devils are unstoppable!
Kwenye soka unahitaji skills na luck.
...na ARSENE WENGER!
Mbu na Sir. Fergie?! Hee,una msahau kabisa!?
I would not like to speculate on any weakness of Manchester United,
-ARSENE WENGER
...na ARSENE WENGER!
Skills+Luck+Arsene Wenger= 4 years without trophies.