Inabidi Fergie aanze kutafuta mrithi wa Ferdinand mapema naona siku hizi kila siku majeruhi
Word is, Anderson ameambiwa kama anataka kuondoka aondoke hii imetokana baada ya Anderson kutofurahishwa na kitendo cha kuwekwa benchi na number kupewa Gibson kwenye mechi ya Community Shield.
rumours pia carrick anaweza kurudi spurs na modric kuja kwenu na mnawapa mil 10 juu.Word is, Anderson ameambiwa kama anataka kuondoka aondoke hii imetokana baada ya Anderson kutofurahishwa na kitendo cha kuwekwa benchi na number kupewa Gibson kwenye mechi ya Community Shield.
Word is, Anderson ameambiwa kama anataka kuondoka aondoke hii imetokana baada ya Anderson kutofurahishwa na kitendo cha kuwekwa benchi na number kupewa Gibson kwenye mechi ya Community Shield.
rumours pia carrick anaweza kurudi spurs na modric kuja kwenu na mnawapa mil 10 juu.
Naona Modric amesema anabakia Spurs na hajui lolote kuhusiana na offer ya Manchester United. Kwa tulivyowafanyia Spurs msimu uliopita sidhani kama wako tayari kumuachia jamaa.
Manda, issue ya Anderson nayo nadhani inachangiwa na kuondoka kwa Ronaldo maana walikuwa marafiki wa karibu, lakini nina uhakika dogo atabaki.
Hao sasa, washaona tunafaidi wataka kutuboa sasa. Hamuoni wachezeji mahali pengine ni Spurs tu?, mwaka jana mlimtaka Barbatov tumewapa. Bado tu mna sisi!. Hebu tuacheni nasi tutese.
Mambo yakiwa poa Arjen Robben anaweza kutua Old Trafford weekend hii, Man U wanataka kutoa Milioni 11 lakini Madrid wanataka angalau milioni 15. Anderson haendi kokote.