Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Inabidi Fergie aanze kutafuta mrithi wa Ferdinand mapema naona siku hizi kila siku majeruhi
 
Mashabiki wa Arsenal wameshaanza kuogopa wana wasiwasi nao huenda dozi zao zikafa Jumamosi
 
Inabidi Fergie aanze kutafuta mrithi wa Ferdinand mapema naona siku hizi kila siku majeruhi

yule dogo, Evans anajitahidi sana atakuwa mlinzi mzuri sana akipata uzoefu pia aongeze nguvu.
 
Word is, Anderson ameambiwa kama anataka kuondoka aondoke hii imetokana baada ya Anderson kutofurahishwa na kitendo cha kuwekwa benchi na number kupewa Gibson kwenye mechi ya Community Shield.
 
Word is, Anderson ameambiwa kama anataka kuondoka aondoke hii imetokana baada ya Anderson kutofurahishwa na kitendo cha kuwekwa benchi na number kupewa Gibson kwenye mechi ya Community Shield.

by the way Gibson anacheza vizuri kuliko Anderson, hasa unapoongelea kujituma (ari).
 
Word is, Anderson ameambiwa kama anataka kuondoka aondoke hii imetokana baada ya Anderson kutofurahishwa na kitendo cha kuwekwa benchi na number kupewa Gibson kwenye mechi ya Community Shield.
rumours pia carrick anaweza kurudi spurs na modric kuja kwenu na mnawapa mil 10 juu.
 
bora anderson aondoke pale manake dogo noma sana pale midfield ana nguvu sana huwa anawasaidia kwahio akiondoka itakuwa powa sana.
 
Word is, Anderson ameambiwa kama anataka kuondoka aondoke hii imetokana baada ya Anderson kutofurahishwa na kitendo cha kuwekwa benchi na number kupewa Gibson kwenye mechi ya Community Shield.

Will be a big Loss, honest speaking the boy is my first Fav. player as far as Manutd is concerned. Ander was meant to be an attacking mido than the current task of being a defensive mido. Lets give him nafasi nyingine, he worth more than what we think.
 
rumours pia carrick anaweza kurudi spurs na modric kuja kwenu na mnawapa mil 10 juu.

Naona Modric amesema anabakia Spurs na hajui lolote kuhusiana na offer ya Manchester United. Kwa tulivyowafanyia Spurs msimu uliopita sidhani kama wako tayari kumuachia jamaa.

Manda, issue ya Anderson nayo nadhani inachangiwa na kuondoka kwa Ronaldo maana walikuwa marafiki wa karibu, lakini nina uhakika dogo atabaki.
 
Hao sasa, washaona tunafaidi wataka kutuboa sasa. Hamuoni wachezeji mahali pengine ni Spurs tu?, mwaka jana mlimtaka Barbatov tumewapa. Bado tu mna sisi!. Hebu tuacheni nasi tutese.
 
Hao sasa, washaona tunafaidi wataka kutuboa sasa. Hamuoni wachezeji mahali pengine ni Spurs tu?, mwaka jana mlimtaka Barbatov tumewapa. Bado tu mna sisi!. Hebu tuacheni nasi tutese.

Mkubwa kiukweli hela ndio msema kweli kwa maana mwenye kisu ndie mla nyama.

Ila issue ya Anderson na mimi nafikiri nitakuwa mmoja wapo kati ya watu ambao tutasononeka sana kwa kuondoka kwake..he's a gud midfielder
 
Man U lazima muelewe, world cup ipo karibu lazima uzalendo!. Mzee wa watu anataka kuwasaidia Waingereza ili wawe fit na kuwa na confidence. Hivyo tegemeeni kwa sana wachezaji wa kiingereza kupangwa zaidi, uzalendo lazima. Anderson labda baada ya world cup.
 
haya ndio maelezo ya kijana Anderson.............

Anderson told the Daily Mail: "I believed that I would play in the Community Shield but that is forgotten now.
"I thought that, without Cristiano Ronaldo around, I could to play more and that has been my challenge from pre-season onwards.
"But the coach decides the teams and to discuss this with him is foolish because he is the chief. I do not want to leave United. No.
"Sir Alex Ferguson has demanded a bigger effort from me and I accept that. Because to get into this United team is very complicated and difficult for any player."

yanapatikana hapa
http://soccernet.espn.go.com/news/story?id=670705&sec=england&cc=3888
 
Pia my worry ni kuwa at the end of the day itawajengea Latin American players kuwa Manutd is not their finest destination, refer to inshu ya Veron, akaja Kleba na sasa Anderson. Ila natumai this weekend dogo ataanza kumkabili Fab.
NB; BTW my worry aslo to my lovely Manutd Kit, 08 Mgongoni, i bought it for him aisee!
 
Game ya Chelsea mara nyingi dogo anachemsha ,namkubali sana dogo kwa kumfunika Fabregas.Tatizo la midfield ya MAN U hakuna ambaye anafunga magoli na kwa sasa baada ya kuondoka Ronaldo ,kwa sasa naona Fletcher na Scholes wamejiakikishia namba kwenye kiungo but sifikirii kama dogo ataondoka sasa
Kwa sasa makocha wengi wana presha sana kwani kila mchezaji anafikiria World Cup
 
Mambo yakiwa poa Arjen Robben anaweza kutua Old Trafford weekend hii, Man U wanataka kutoa Milioni 11 lakini Madrid wanataka angalau milioni 15.

Anderson haendi kokote.
 
Mambo yakiwa poa Arjen Robben anaweza kutua Old Trafford weekend hii, Man U wanataka kutoa Milioni 11 lakini Madrid wanataka angalau milioni 15. Anderson haendi kokote.

Huyo nadhani atafikia treatment room si unajua alivyo prone to injuries? is good on his days lakini kuumia mara kwa mara ni tatizo....! Anderson si mumemtupia virago?
 
Back
Top Bottom