Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Hehe naona scousers wametupatia lol....yani washabiki wa liverpool wanasumbua sana....ki
la kona ebo!!!
nwc9y9.jpg
 
Credit to LIVA but huu ushindi ni kama tumewapa ,Rooney alichemsha mno kulia Scholes hawezi kucheza pamoja na Anderson
Ronaldo akirudi naona kuna m2 inatakiwa aanzie benchi (Rooney) Berba na Tevez waanze
 
Next week tunaenda darajani VIDIC hatacheza nani atachukua nafasi yake?
 
Jamaa wa Liva alifaidi lager zangu (ishu za kubet naacha), maana maumivu ya kufungwa na kulipa bili ya bia!
Naungana na SAF kwamba ukiwa umemshamkandamiza mtu mara kibao then pressure inaamia kwako...anyway inabidi upinzani urudi....lets focus darajani.
 
Next week tunaenda darajani VIDIC hatacheza nani atachukua nafasi yake?

Bwown, then as much as Hagro kapona yeye anakula shavu la kulia, wale wa-Brazil, Rodrigo na mwenzie hawataweza game ngumu ile, Garl Neville hafai, Super Cup ilimtosha, akipangwa tu ujue Joe Cole ataibuka man of the match.

Lets think about Villareal kwanza, unajua wanakuja OT keshokutwa?, i saw them jana briefly wakimchapa Deportivo la Coruna, they are good!

NB; Washabiki bwana; game tatu tu watu washa 'tangaza' ubingwa, au mmesahau kuwa ni point tatu tu gap?
 
Jamaa wa Liva alifaidi lager zangu (ishu za kubet naacha), maana maumivu ya kufungwa na kulipa bili ya bia!
Naungana na SAF kwamba ukiwa umemshamkandamiza mtu mara kibao then pressure inaamia kwako...anyway inabidi upinzani urudi....lets focus darajani.

Babu vp?..za siku?
Hii ilibidi nicheke kwanza...jamaa alikamata lager kiulaini.
Pole sana na kaa kando na bahati nasibu..mpira upepo.🙂
 
Credit to LIVA but huu ushindi ni kama tumewapa ,Rooney alichemsha mno kulia Scholes hawezi kucheza pamoja na Anderson
Ronaldo akirudi naona kuna m2 inatakiwa aanzie benchi (Rooney) Berba na Tevez waanze

Aloooo...hio kauli ya "ushindi ni kama tuliwapa," hebu isitishe.
Kama mlifungwa mlifungwa tu, usilete hadisi za wazanzibari hapa....LOL.

Kufungwa mlifungwa lakini chenga mliwala sio...🙄...hmmmmm?
 
Bwown, then as much as Hagro kapona yeye anakula shavu la kulia, wale wa-Brazil, Rodrigo na mwenzie hawataweza game ngumu ile, Garl Neville hafai, Super Cup ilimtosha, akipangwa tu ujue Joe Cole ataibuka man of the match.

Lets think about Villareal kwanza, unajua wanakuja OT keshokutwa?, i saw them jana briefly wakimchapa Deportivo la Coruna, they are good!

NB; Washabiki bwana; game tatu tu watu washa 'tangaza' ubingwa, au mmesahau kuwa ni point tatu tu gap?

Mkuu,

utamuoenea wivu chongo japo anapata kuona kwa jicho moja?
 
Tushapoa kaka, itabidi tufanye uchunguzi, seem there was a match fixing, haiwezikani VIDIC apewe kadi nyekundu bila sababu ya kimsingi...!
😱😱 Mkuu hakuna match fixing apo, Vidic alipewa kadi njano 2 kwa hivo ni sawa na Red, ya kwanza kwa kumzuia Keane na ya pili dhidi ya Alonso, mimi nataka kuona Mzee wa mabig G atatumia formation gani dhidi ya Chelsea ili big 4 upfront wote wacheze? Kwa mtaji wa 4-4-2 Rooney na Ronaldo on the wings mbele Tevez na Berba? ama ndio atakuja na hio 4-2-3-1 berba akiongoza mashambulizi nyuma ya Tevez,Rooney na Ronaldo? Itabidi atoa muhanga midfield moja, kati ya Scholes na Carrick!!!Kwa maoni yangu Rooney na Tevez wako sawa na mmoja awepo bench (Rooney) ila sidhani kama SAF atathubutu kufanya hivo!!
 
Wadau wakati mnafikiria maswala ya Jumatano na jumamosi hehe AIG wana matatizo..so tunaweza kwenda bila mdhamini katika siku chache zijazo lol....!!!
 
si wamwite manji aje aokoe jahazi kama aig mufuko wao wayumba??
 
Aloooo...hio kauli ya "ushindi ni kama tuliwapa," hebu isitishe.
Kama mlifungwa mlifungwa tu, usilete hadisi za wazanzibari hapa....LOL.

Kufungwa mlifungwa lakini chenga mliwala sio...🙄...hmmmmm?

Liverpool ambao wameifunga Man juzi walicheza ovyo kulinganisha na game za nyuma ambazo LIVA walikuwa wanafungwa
Huko nyuma liverpool wanacheza vizuri lakini MAN U wanashinda ,ukiangalia yale magoli yote yalikuwa ni uzembe wa Giggs,Brown and VDS
Kuhusu red card ya VIDIC haina ubishi alistahili
 
Mimi ni mshabiki wa MAN UTD DAMU. Kusema ukweli Liverpool walicheza vizuri mnoo! Haujamsikia babu alivyosema?? Ile tight game na high potential ya wanaliverpool, MANCHESTER waliishindwa pale Anfield??

Ni kweli, Liverpool walitufunika, walijiamini na ninaamini mwaka huu patakuwa hapatoshi Barcalys. Feggy ana akili mtaona mititi itakayofuata. 5-0, 5-0, 5-0, 5-1, 5-2.
Ni mawazo tu!
 
Ronaldo anarudi na Berbatov kaonesha kiwango kizuri ,sijui fergie atamtupa nani benchi
Najua hawezi kumweka benchi Rooney but ningependa Ronaldo na Tevez wacheze nyuma ya Berbatov the midfielder acheze Anderson na Hargreaves ,kwa sasa Scholes anastahili kuanzia benchi
 
Kweli huyu Fergie sasa anazeeka kwa kasi ama ndio homa ya darajani tu? ameanza bifu na marefarii sasa! Eti wamependelea Chelsea kufuta kadi nyekundu ya Terry wakati wote tumeona Terry hakuwa mtu wa mwisho? Kazi kweli kweli.
 
Babu vp?..za siku?
Hii ilibidi nicheke kwanza...jamaa alikamata lager kiulaini.
Pole sana na kaa kando na bahati nasibu..mpira upepo.🙂

Nipo Mkuu,
Sijui haka kaupepo ka AIG kametupitia maana jana goli ziligoma kuingia kimiani.
Tunawangoja hapo j2.
 
Ronaldo anarudi na Berbatov kaonesha kiwango kizuri ,sijui fergie atamtupa nani benchi
Najua hawezi kumweka benchi Rooney but ningependa Ronaldo na Tevez wacheze nyuma ya Berbatov the midfielder acheze Anderson na Hargreaves ,kwa sasa Scholes anastahili kuanzia benchi

SAF anaamini dhana nzima ya 'utu zima' dawa, Anderson sidhani kama atamuweka Benchi Scholes. Ander he is a good player, lakini binafsi naona Scholes has been doing pretty much good job anastahili kuanza tu.

Game ya jana ya CL J. Evans alicheza vizuri kama vipi SAF amuanzishe tu next weekend, then Hagro na Scholes Dimba ya kati, Rooney, Beba katikati, then Tevez na Ronaldo.
 
Wakubwa, pamoja na kwamba hili ni suala la kiuchumi, lakini mie naliona kama sie mashetani wekundu linatuhusu sana tu.
Kampuni ya Bima ya AIG ambayo ni wadhamini wetu wameanza kutetereka kifedha, na wataalamu wanasema kwamba serikali ya Marekani isipotia mkono hapo basi kuna hatari kubwa ya kampuni hii kubwa kufilisika kabisa.
Wakuu hili mnalionaje ati?
 
AIG wamepewa Bail ya kama $80Billion, lets hope wanaweza wakafufuka ingawa still am doughting about the sustainabilty ya hiyo kampuni in future.

Lakini siku zote kizuri chajiuza, still naamini kwa status ya Manutd mdhamini mpya is likely to come ASAP.
 
Back
Top Bottom