Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Next week tunaenda darajani VIDIC hatacheza nani atachukua nafasi yake?
Jamaa wa Liva alifaidi lager zangu (ishu za kubet naacha), maana maumivu ya kufungwa na kulipa bili ya bia!
Naungana na SAF kwamba ukiwa umemshamkandamiza mtu mara kibao then pressure inaamia kwako...anyway inabidi upinzani urudi....lets focus darajani.
Credit to LIVA but huu ushindi ni kama tumewapa ,Rooney alichemsha mno kulia Scholes hawezi kucheza pamoja na Anderson
Ronaldo akirudi naona kuna m2 inatakiwa aanzie benchi (Rooney) Berba na Tevez waanze
Bwown, then as much as Hagro kapona yeye anakula shavu la kulia, wale wa-Brazil, Rodrigo na mwenzie hawataweza game ngumu ile, Garl Neville hafai, Super Cup ilimtosha, akipangwa tu ujue Joe Cole ataibuka man of the match.
Lets think about Villareal kwanza, unajua wanakuja OT keshokutwa?, i saw them jana briefly wakimchapa Deportivo la Coruna, they are good!
NB; Washabiki bwana; game tatu tu watu washa 'tangaza' ubingwa, au mmesahau kuwa ni point tatu tu gap?
😱😱 Mkuu hakuna match fixing apo, Vidic alipewa kadi njano 2 kwa hivo ni sawa na Red, ya kwanza kwa kumzuia Keane na ya pili dhidi ya Alonso, mimi nataka kuona Mzee wa mabig G atatumia formation gani dhidi ya Chelsea ili big 4 upfront wote wacheze? Kwa mtaji wa 4-4-2 Rooney na Ronaldo on the wings mbele Tevez na Berba? ama ndio atakuja na hio 4-2-3-1 berba akiongoza mashambulizi nyuma ya Tevez,Rooney na Ronaldo? Itabidi atoa muhanga midfield moja, kati ya Scholes na Carrick!!!Kwa maoni yangu Rooney na Tevez wako sawa na mmoja awepo bench (Rooney) ila sidhani kama SAF atathubutu kufanya hivo!!Tushapoa kaka, itabidi tufanye uchunguzi, seem there was a match fixing, haiwezikani VIDIC apewe kadi nyekundu bila sababu ya kimsingi...!
Wadau wakati mnafikiria maswala ya Jumatano na jumamosi hehe AIG wana matatizo..so tunaweza kwenda bila mdhamini katika siku chache zijazo lol....!!!
Aloooo...hio kauli ya "ushindi ni kama tuliwapa," hebu isitishe.
Kama mlifungwa mlifungwa tu, usilete hadisi za wazanzibari hapa....LOL.
Kufungwa mlifungwa lakini chenga mliwala sio...🙄...hmmmmm?
Babu vp?..za siku?
Hii ilibidi nicheke kwanza...jamaa alikamata lager kiulaini.
Pole sana na kaa kando na bahati nasibu..mpira upepo.🙂
Ronaldo anarudi na Berbatov kaonesha kiwango kizuri ,sijui fergie atamtupa nani benchi
Najua hawezi kumweka benchi Rooney but ningependa Ronaldo na Tevez wacheze nyuma ya Berbatov the midfielder acheze Anderson na Hargreaves ,kwa sasa Scholes anastahili kuanzia benchi