Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rafa Benitez believes Manchester United are looking nervously over their shoulder at his resurgent Liverpool side.

"He is talking about us because they're feeling the pressure we're putting on them," Benitez told The Sunday Telegraph.

"I know he is nervous, and that is good."

"Mind games are for managers who are affected by them. But I don't understand him because he talks in a Scottish accent," he said.

...ha ha haaa...eti, "Scottish Accent!"
 
Tete tehe! ila kazungumza ukweli wake...kwahiyo Benitez hawezi mind games na SAF..kisa kiinglishi cha kiscotishi kinampa taabu kukisikia!!
 
Nipeti habari za FC Porto hii week end game walishianda na pia hawajapata majeruhi?
 
Very interesting...! Benitez ana European Tie then kwenye press conference he is talking about SAF!, yule mzee HAMUWEZI..!, i think its another troophless season kwa Liverpool this time.

Manutd; Its all about winning UGLY, cheza vibaya lakini ondoka na point zako tatu, who cares?
 
Ukweli sasa wachezaji wengi wamechoka tuendelee hivyo but i believe ubingwa wa Uingereza ni wetu kasheshe ni huko Stadio Dragao jumatano
 
...licha ya kutokuwepo majeruhi, hao walioshinda jana ni 'kikosi cha pili', MTAKOMA!!!!!! ha ha ha ahaaa 😀

Mbu hakuna lolote tutavunja hiyo recort nadhani na Livapool wanakibaru kigumu wanahisi kurudia historia ya 2005 lalalala cjui
 
Man Utd dominate PFA awards list


_45663122_avidic.jpg
United defender Vidic is favourite to win the PFA award


Steven Gerrard is the only non-Manchester United player in the running for the Professional Footballers' Association player of the year award. The Liverpool captain is joined on the shortlist by United's Nemanja Vidic, Ryan Giggs, Rio Ferdinand, Cristiano Ronaldo and Edwin van der Sar.
Jonny Evans and Rafael Da Silva are nominees for the young player award.
Also in contention with the United pair are Gabriel Agbonlahor, Ashley Young, Aaron Lennon and Stephen Ireland.
Defender Vidic is favourite to lift the trophy at London's Grosvenor House on 26 April.
o.gif

Voting took place before United's recent dip in form, perhaps explaining why the list of contenders is dominated by players from Sir Alex Ferguson's team.
But Gerrard could benefit from a split vote for United players as David Ginola did during their 1999 treble-winning season - an outcome that annoyed Ferguson.
Giggs has never won the award, whereas Ronaldo could become the first player to win it three years in a row.
After a superb season for Manchester City, Ireland is favourite to succeed Arsenal's Cesc Fabregas as the country's top youngster.
Agbonlahor and Young have both impressed for Aston Villa, while Tottenham winger Lennon has also caught the eye.
Nominees for the PFA player of the year award:
Rio Ferdinand (Man Utd)
Steven Gerrard (Liverpool)
Ryan Giggs (Man Utd)
Cristiano Ronaldo (Man Utd
Edwin van der Sar (Man Utd)
Nemanja Vidic (Man Utd)

Nominees for the PFA young player of the year award:
Gabriel Agbonlahor (Aston Villa)
Rafael Da Silva (Man Utd)
Jonny Evans (Man Utd)
Stephen Ireland (Man City)
Aaron Lennon (Tottenham)
Ashley Young (Aston Villa)


Source:BBC
Wengine mtabaki kuwa wasindikizaji na mna bahati kama wangechagua sasa hivi hata MACHEDA angekuwepo
 
...Belo nimekushtukia unajiliwaza na hii mi posting mireeeeeeeefu, PFA za nini hapa?, 😀
 
Tuombeane kheri leo, ita kuwa mechi ngumu mwisho Man U itasonga mbele kwa mbinde. Go Man u.
 
...Belo nimekushtukia unajiliwaza na hii mi posting mireeeeeeeefu, PFA za nini hapa?, 😀
Najiliwaza na nini ? Hao wachezaji wako wenyewe wameshiriki kuchagua hao wachezaji we bado unaleta ubishi .Ukweli ni kwamba Aresnal ni wasindikizaji
Jana ulikuwa Liverpool ,leo utaamia Porto kesho sijui utahamia wapi
 
Wajomba tupeane moyo kidogo, mechi ya leo ni kibano kwetu. Kwa ufupi tumekalia kuti kavu, kwa sbb Porto kwa kiasi kikubwa wako njema sana. Tutakubali kulitema kombe leo?
 
Wajomba tupeane moyo kidogo, mechi ya leo ni kibano kwetu. Kwa ufupi tumekalia kuti kavu, kwa sbb Porto kwa kiasi kikubwa wako njema sana. Tutakubali kulitema kombe leo?
Usiwe na wasiwasi leo ushindi upo
 
Najiliwaza na nini ? Hao wachezaji wako wenyewe wameshiriki kuchagua hao wachezaji we bado unaleta ubishi .Ukweli ni kwamba Aresnal ni wasindikizaji
Jana ulikuwa Liverpool ,leo utaamia Porto kesho sijui utahamia wapi

...😀 Belo,Nziku, Icadon, YE, Saikosisi, na 'mashetani wekundu' nyoooote popote pale mlipo!,

...nawatakia kila la kheri kwenye mechi ya leo...!

Porto's Mariano Gonzalez says they made Manchester United look ordinary on Tuesday.

The midfield star scored an 89thminute equaliser to earn Porto a 2-2 draw and leave United with plenty to do in next week's return encounter.

And Mariano claims United look vulnerable, despite their current status as English, European and world champions.

He said: "You can say they played badly but the credit should go to us, as we made the great stars of Manchester look like they weren't that great.

"They are a motivated squad but it was our strength that made them look fragile. But they will come to Porto to win the second leg. They have shown they can win at any stadium. They will come to score and they will try to attack from the first minute.

"But as always our fans will be very noisy and that will inspire us."
 
the blues leo full shangwe,presha yetu imeisha tangu jana kazi kwenu,hao Wareno lazima wawafanyie kitu mbaya.Gemu itakuwa ngumu ila Porto atavuka kwa away goals.mlichemka gemu ya kwanza,jiandaeni na mechi ya Everton J2.Acheni roho mbaya mnataka vikombe vyote halafu wengine tutachukua nini?Liver achukue cha Ligi kuu,Chelsea Uefa champs.Man Carling Cup na kile cha club bingwa ya dunia,Arsenal patupu,na kwa heshima ya Hiddink Chelsea tunawaongezea FA.
 
Back
Top Bottom